Acha ukudaHuu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.
Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.
Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara1
Mshamba sana huyu mleta uziMwingine akinywa ww unaathirika vp?
Kunywa kulewa tufanye sisiHuu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.
Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.
Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara1
Hauna hela hata ya bia moja umepata ofa ya bando ndo unaingia jf na nongwa zako, SAUTI YAKO HAITOSIKIKA DAIMA acha tupige uwele wwHuu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.
Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.
Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara1
Dah Watu kweli mmevurugwa yani Avatar yenyewe ina porno movie ikiwa open unadhani utasapoti NN sasa km sio pombe?Watu wakinywa na kulewa ww unawashwa na nini mleta mada?
Acha watu waamue waishi watakavyo hapa hatuko chini ya Talibani.
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.
Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.
Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara1
Hakuna sehemu wimbo ulipofungiwa ni huyo kilaza ndio anawewesekaWimbo wa Mikasi ni lini utafungiwa? Hawa mawaziri sijui huwa wanatolewa wapi aisee.
Sample hakuna ya huu wimbo?Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.
Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.
Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara1
HahahahhHuu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.
Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.
Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara1
HahahahajaMleta mada apewe kesi ya uhujumu uchumi maana anatukatisha tamaa walipa kodi, huyu bwege hajui kua hadi sasa nipo viwanja kwa kuianza weekend yangu murwaa