Ulikuwa unaishi Ulaya? Maigizo yenu ya kula mahindi barabarani mara kigawa pesa na upuuzi kama huo unadhani hizo propaganda zililenga nini?Magufuli alimalazimisha nani kumpenda?yule alikuwa na nyota ya kupendwa kama Mwalimu Nyerere na ndiyo maana ata msiba wake haukuwa tofauti na wa Mwalimu Nyerere.
Huyo Bibi yenu ndiyo analazimisha,naona mliweka mpaka mabango Mikoani lakini wapi!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Unataka kusema kwamba wanaiasa ni empty headed? Yaani hata ukiwa na proffesion yako kitendo Cha kuwa mwanasiasa tayaru we unakuwa tabulalasa au. Unataka kusema mfano akina prof mkenda, ndalichako nk kwa vile ni wanasiasa basi uprof wao umefutwa na hivi wamekjwa vilaza lazima kuwe na thinkers waendeshe?Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.
Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa
Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.
Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.
Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.
Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
Kweli nimeona nikashangaaaa sana nikaema huyu mtu vip mbona majukumu yake amesahau anafanya kazi kwenye kivuriUnaibu Waziri Mkuu umemvaa kiasi kwamba Nishati Hana muda nao.
Dah watu mnauchungu na nchi aisee...Vyeo viwili kwa wakati mmoja kwa Biteko ndio changamoto. Ana mambo ya kiserikali na mambo ya wizara.
Mara nyingi anatumwa kwenda kufanya hiyo kazi na waziri Mkuu ama rais mwenyewe.
Matatizo ya wizara ya nishati yanajulikana na suluhisho lake linajulikana, Biteko hata awepo ofisini hakuna atakachobadilisha.
Kwa sasa wizara, TANESCO na nchi kwa ujumla matumaini yao ni Bwawa la Mwalimu Nyerere kuwashwa mwaka kesho ili umeme uwake, hakuna mbadala mwingine wowote ulioko hapa karibu wa kutatua changamoto ya umeme, hakuna.
Walioharibu ni kina Makamba na maharage, wamekaa pale miaka 2 mizima hakuna cha maana walichokifanya, wakashindwa hata kuanzisha mradi mmoja wa umeme wa solar ama upepo ambao ungeweza kukamilika ndani ya miezi 18 hadi 24. Wao wakakalia wizi, media coverage na publicity tu.
Wanajua kupinga tu, vichwani hawana fikra zozote mpya.Umeme kishawapa Tanesco miezi 6. Unataka akae hapohapo anangojea mpaka lini?
Kumbuka huyo ni Naibu Waziri Mkuu pia.
Tulio wengi tuliamini hivo. Tukaamini kwa mabadiliko haya pengine Samia kauona uozo pale nishati, na kaamua sasa kuufanyia kazi. Kumbe ni changa la macho. Imefikia wakati naanza kuamini anamtumia Dotto kugain political popularity kanda ya ziwa. Sio kwa manufaa ya taifa.Mwanzo nilidhani Waziri wa Nishati anapewa na kofia ya Unaibu Waziri Mkuu ili aweze kukabiliana na urasimu wa kiwizara ambao unaweza ukamkwamisha mf.akitaka kumhamisha Mtumishi basi akiwasiliana na Waziri wa Utumishi iwe ni kumpa maelekezo sio kushauriana au akihitaji fungu au lolote toka Wizara zingine alipate kwa wakati kwa kutumia kofia ya Unaibu PM
kumbe u Naibu PM kapewa yeye kama Yeye na hata siku akihamia Wizara ya Michezo ataenda nao.
Au basi tuseme ile wizara alipewa mtu kisha akapewa na majukumu mengine ili iwe ni kama wizara isiyo na msimamizi iwe rahisi kwao kupiga.Vyeo viwili kwa wakati mmoja kwa Biteko ndio changamoto. Ana mambo ya kiserikali na mambo ya wizara.
Mara nyingi anatumwa kwenda kufanya hiyo kazi na waziri Mkuu ama rais mwenyewe.
Matatizo ya wizara ya nishati yanajulikana na suluhisho lake linajulikana, Biteko hata awepo ofisini hakuna atakachobadilisha.
Kwa sasa wizara, TANESCO na nchi kwa ujumla matumaini yao ni Bwawa la Mwalimu Nyerere kuwashwa mwaka kesho ili umeme uwake, hakuna mbadala mwingine wowote ulioko hapa karibu wa kutatua changamoto ya umeme, hakuna.
Walioharibu ni kina Makamba na maharage, wamekaa pale miaka 2 mizima hakuna cha maana walichokifanya, wakashindwa hata kuanzisha mradi mmoja wa umeme wa solar ama upepo ambao ungeweza kukamilika ndani ya miezi 18 hadi 24. Wao wakakalia wizi, media coverage na publicity tu.
Sio ndio hapo sasa. Ni lini aliwahi kuwa na mvuto?Huo mvuto anaopoteza aliwahi kuwa nao lini? Huyu hajawahi kuwa na mvuto popote
Kwenu bado kuna mgao bado??Kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na Waziri?
Biteko anahangaika na cheo bandia badala ya kushughulikia tatizo la umeme.
Wewe na Lucas, baada ya hapa sijui mtakwenda wapi?Acha wivu Mzee.Kwa nafasi yake waliyompa analazimika sio tuu kuisemea Nishati Bali kushughulika na masuala General ya Serikali kama anavyofanya PM na Yuko sahihi.
Naibu Waziri wa Nishati technically ndio ana play role kubwa ya Waziri wa Nishati kulingana na status ya boss wake.
Foreign secretary wa England ni Deputy Prime Minister pia so nae anakuwa na general role ukiacha kazi ya kuwa Waziri wa Mambo ya Nje.
Na ndio maana juzi amemuwakikisha Rais Nje ya Nchi na akapata heshima za kiplitokali safi kabisa huko Uganda Kwa sababu ya kwamba ni Mwakilishi wa Rais lakini ni Deputy PM.
Angekuwa Waziri wa kawaida asingepata zile heshima hata kama katumwa na Rais ,Iko hivyo yaani.
Wewe baada ya hapa utaenda wapi?Wewe na Lucas, baada ya hapa sijui mtakwenda wapi?
Mmejitoa ufahamu na kubaki kama misukule tu. Utashi wa ubinaadam wenu mmeupeleka wapi?
Nitaiacha Tanzania yenye heshima kati ya mataifa duniani, kwa hicho kidogo nitakachochangia.Wewe baada ya hapa utaenda wapi?
So?Nitaiacha Tanzania yenye heshima kati ya mataifa duniani, kwa hicho kidogo nitakachochangia.