Waziri Biteko anakosa mshauri wa kisiasa. Hana muda na Wizara ya Nishati, muda mwingi anatumia kujitangaza mikoani na ameanza kupoteza mvuto jukwaani

Waziri Biteko anakosa mshauri wa kisiasa. Hana muda na Wizara ya Nishati, muda mwingi anatumia kujitangaza mikoani na ameanza kupoteza mvuto jukwaani

Mimi keshaanza kuniboa kama anavyo niboa waziri mdogo wa nishati na jesinter.
Naibu kawa philosopher, mshauri, mwanasiasa mahiri et al.
Nadhani kuna mtu kamwambia 2030 kina kipara na kina Madelu hawatakua kwenye reli.
 
Magufuli alimalazimisha nani kumpenda?yule alikuwa na nyota ya kupendwa kama Mwalimu Nyerere na ndiyo maana ata msiba wake haukuwa tofauti na wa Mwalimu Nyerere.
Huyo Bibi yenu ndiyo analazimisha,naona mliweka mpaka mabango Mikoani lakini wapi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ulikuwa unaishi Ulaya? Maigizo yenu ya kula mahindi barabarani mara kigawa pesa na upuuzi kama huo unadhani hizo propaganda zililenga nini?
 
Unata
Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.

Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa

Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.

Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.

Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.

Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
Unataka kusema kwamba wanaiasa ni empty headed? Yaani hata ukiwa na proffesion yako kitendo Cha kuwa mwanasiasa tayaru we unakuwa tabulalasa au. Unataka kusema mfano akina prof mkenda, ndalichako nk kwa vile ni wanasiasa basi uprof wao umefutwa na hivi wamekjwa vilaza lazima kuwe na thinkers waendeshe?
 
Kazi ya Waziri ni ku manage politics.. utendaji haswa unaukuta kwa waandamizi kuanzia kwa katibu mkuu wa wizara..

Yeye kukaa ofisini ama kutokukaa sidhani kama inaongeza chochote zaidi zaidi tu ni anatakiwa kuwa na mawasiliano ya karibu na katibu mkuu wa wizara ili kufanya follow up ya utendaji
 
Vyeo viwili kwa wakati mmoja kwa Biteko ndio changamoto. Ana mambo ya kiserikali na mambo ya wizara.

Mara nyingi anatumwa kwenda kufanya hiyo kazi na waziri Mkuu ama rais mwenyewe.

Matatizo ya wizara ya nishati yanajulikana na suluhisho lake linajulikana, Biteko hata awepo ofisini hakuna atakachobadilisha.

Kwa sasa wizara, TANESCO na nchi kwa ujumla matumaini yao ni Bwawa la Mwalimu Nyerere kuwashwa mwaka kesho ili umeme uwake, hakuna mbadala mwingine wowote ulioko hapa karibu wa kutatua changamoto ya umeme, hakuna.

Walioharibu ni kina Makamba na maharage, wamekaa pale miaka 2 mizima hakuna cha maana walichokifanya, wakashindwa hata kuanzisha mradi mmoja wa umeme wa solar ama upepo ambao ungeweza kukamilika ndani ya miezi 18 hadi 24. Wao wakakalia wizi, media coverage na publicity tu.
Dah watu mnauchungu na nchi aisee...

Anyway siasa ndio ilivyo
 
Cheo cha NAIBU WAZIRI mkuu kimekaa kichawachawa tu. Hana majukumu maalumu ya kusimamia ktk hiki cheo chake zaidi ya kubeba maagizo ya hos wake
 
Mwanzo nilidhani Waziri wa Nishati anapewa na kofia ya Unaibu Waziri Mkuu ili aweze kukabiliana na urasimu wa kiwizara ambao unaweza ukamkwamisha mf.akitaka kumhamisha Mtumishi basi akiwasiliana na Waziri wa Utumishi iwe ni kumpa maelekezo sio kushauriana au akihitaji fungu au lolote toka Wizara zingine alipate kwa wakati kwa kutumia kofia ya Unaibu PM

kumbe u Naibu PM kapewa yeye kama Yeye na hata siku akihamia Wizara ya Michezo ataenda nao.
 
Tulio wengi tuliamini hivo. Tukaamini kwa mabadiliko haya pengine Samia kauona uozo pale nishati, na kaamua sasa kuufanyia kazi. Kumbe ni changa la macho. Imefikia wakati naanza kuamini anamtumia Dotto kugain political popularity kanda ya ziwa. Sio kwa manufaa ya taifa.
 
Vyeo viwili kwa wakati mmoja kwa Biteko ndio changamoto. Ana mambo ya kiserikali na mambo ya wizara.

Mara nyingi anatumwa kwenda kufanya hiyo kazi na waziri Mkuu ama rais mwenyewe.

Matatizo ya wizara ya nishati yanajulikana na suluhisho lake linajulikana, Biteko hata awepo ofisini hakuna atakachobadilisha.

Kwa sasa wizara, TANESCO na nchi kwa ujumla matumaini yao ni Bwawa la Mwalimu Nyerere kuwashwa mwaka kesho ili umeme uwake, hakuna mbadala mwingine wowote ulioko hapa karibu wa kutatua changamoto ya umeme, hakuna.

Walioharibu ni kina Makamba na maharage, wamekaa pale miaka 2 mizima hakuna cha maana walichokifanya, wakashindwa hata kuanzisha mradi mmoja wa umeme wa solar ama upepo ambao ungeweza kukamilika ndani ya miezi 18 hadi 24. Wao wakakalia wizi, media coverage na publicity tu.
Au basi tuseme ile wizara alipewa mtu kisha akapewa na majukumu mengine ili iwe ni kama wizara isiyo na msimamizi iwe rahisi kwao kupiga.
 
Acha wivu Mzee.Kwa nafasi yake waliyompa analazimika sio tuu kuisemea Nishati Bali kushughulika na masuala General ya Serikali kama anavyofanya PM na Yuko sahihi.

Naibu Waziri wa Nishati technically ndio ana play role kubwa ya Waziri wa Nishati kulingana na status ya boss wake.

Foreign secretary wa England ni Deputy Prime Minister pia so nae anakuwa na general role ukiacha kazi ya kuwa Waziri wa Mambo ya Nje.

Na ndio maana juzi amemuwakikisha Rais Nje ya Nchi na akapata heshima za kiplitokali safi kabisa huko Uganda Kwa sababu ya kwamba ni Mwakilishi wa Rais lakini ni Deputy PM.

Angekuwa Waziri wa kawaida asingepata zile heshima hata kama katumwa na Rais ,Iko hivyo yaani.
Wewe na Lucas, baada ya hapa sijui mtakwenda wapi?

Mmejitoa ufahamu na kubaki kama misukule tu. Utashi wa ubinaadam wenu mmeupeleka wapi?
 
Moja ushauri mzuri kwa Biteko. Hakika inashangaza sana kuzurula kama yeye ni waziri mkuu. Anasahau tunachangamoto ya nishati.

Nilitarajia nguvu kubwa iwepo huko, hiyo nafasi ya unaibu amepewa ili imuongezee nguvu kiasi kufanya maamuzi katika hiyo sekta na sio kufanya harakati nyingine.
 
Back
Top Bottom