Dada yetu anapwaya.....yupo tuu.....Yupo Naibu Waziri wa Nishati
Ukweli mchunguKwa hiyo hakuna haja ya kuwa na Waziri?
Biteko anahangaika na cheo bandia badala ya kushughulikia tatizo la umeme.
SwadaktaWaziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.
Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa
Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.
Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.
Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.
Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
Noma sanaPengine aliyoyakuta ni mazito kuliko alivyotegemea..kuna mikataba ya ajabu ajabu January ameisaini..pesa zimetoka ila watu hawapo site.
Kaona bora ajiliwaze tu muda uende aondoke.
Juzi alienda chato kwa baba yake kumuomba amuepushie hiko kikombe.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Bitter truthVyeo viwili kwa wakati mmoja kwa Biteko ndio changamoto. Ana mambo ya kiserikali na mambo ya wizara.
Mara nyingi anatumwa kwenda kufanya hiyo kazi na waziri Mkuu ama rais mwenyewe.
Matatizo ya wizara ya nishati yanajulikana na suluhisho lake linajulikana, Biteko hata awepo ofisini hakuna atakachobadilisha.
Kwa sasa wizara, TANESCO na nchi kwa ujumla matumaini yao ni Bwawa la Mwalimu Nyerere kuwashwa mwaka kesho ili umeme uwake, hakuna mbadala mwingine wowote ulioko hapa karibu wa kutatua changamoto ya umeme, hakuna.
Walioharibu ni kina Makamba na maharage, wamekaa pale miaka 2 mizima hakuna cha maana walichokifanya, wakashindwa hata kuanzisha mradi mmoja wa umeme wa solar ama upepo ambao ungeweza kukamilika ndani ya miezi 18 hadi 24. Wao wakakalia wizi, media coverage na publicity tu.
Wasukuma leadership skills ni zero, jiulize kwa nini wakoloni hawakujenga shule kwa kipindi kile walichotutawala?Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.jiulize kwa nini wakoloni hawakujenga shule
Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa
Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.
Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.
Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.
Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.
Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa
Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.
Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.
Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.
Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
Naibu Waziri mkuu ana kazi gani kikatiba? Huo unaibu waziri mkuu ni upuuzi tu. Uwezo wake utapimwa kwenye nishati.Umeme kishawapa Tanesco miezi 6. Unataka akae hapohapo anangojea mpaka lini?
Kumbuka huyo ni Naibu Waziri Mkuu pia.
Kazi yake ni kumsaidia waziri mkuu. Siyo kila kazi imeainishwa utendaji wake kikatiba. Katiba ya Tanzania imempa uhuru Rais kubuni kazi ambazo anaona zina manufaa kwa taifa.Naibu Waziri mkuu ana kazi gani kikatiba? Huo unaibu waziri mkuu ni upuuzi tu. Uwezo wake utapimwa kwenye nishati.
Umeme una tatizo lipi?Kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na Waziri?
Biteko anahangaika na cheo bandia badala ya kushughulikia tatizo la umeme.
Wivu 😂😂Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.
Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa
Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.
Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.
Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.
Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
Acha ujingai,Yani Faiza na Lucas ni crtical thinker's??Ninakubaliana nawe kwenye mada yako; lakini nimeona nilinyanyue hili hapa ambalo pengine hujalitafakari vizuri.
Hao 'Critical Thinkers' na 'Analysts' unaozungumzia wewe, kwani huwaoni hata humu akina Faiza Fox; akina Lucas, Choice..., n.k.
Hao chawa walioenea kila sehemu huoni kazi zao.
Kama huoni hivyo wewe, basi ujue wenzio hao ndio wanaokidhi mahitaji yao. Standard zako, siyo zao.
Ninakubaliana nawe tena, ingawaje kunipa heshima ya "ujinga" inakufanya wewe kuonekana kuwa mpumbavu.Acha ujingai,Yani Faiza na Lucas ni crtical thinker's??
Dotto-Toilet Paper …Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.
Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa
Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.
Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.
Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.
Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
Akisoma ataelewa kwamba fitina Sasa zimeanza akae mguu sawa...wale wanaogopa ujio wake..mbinu chafu dhidi yake ni nyingi afanye kazi zake kwa taadhari kubwaAkisoma hapa ataelewa kitu hila kama ata soma basi
Acha chuki basi.. changamoto ya wa Tanzania mliowengi mnajifanya wajuaji sana..hapo ndio shida inaanzia..Kwanza Nani alikwambia Dotto ni msukuma..Dotto-Toilet Paper …
hajielewi na Hana mvuto…angejua kuwa Kawekwa pale kubalance siasa za kanda ya Ziwa hasa baada ya ziara iliyofanikiwa ya wapinzani.
walioshauri achaguliwe waliamishwa kuwa yeye ndio mwenye nguvu kanda ya Ziwa hasa kwenye kundi maarufu la Genge ….mahesabu ni tofauti hana ushawishi wowote kule ..pengine ana ushawishi kwenye kendo la inner circle yeye na Kalemani na Ngussa na wana pesa za Kutosha…lakini chini hawana watu …….Magufuli Hakuwahi kuwapenda wasukuma original …wengi wao waliteseka tu kama wengine …..kuna kundI dogo ambalo walijinasibu kama wasukuma wakiwa nje lakini huko ndani wanajuana
Ukiona humo ndani JK na Rostam wapo ndani jua ni dili tu hapo zinawekwa sawa, wameona Dotto hawezi kukataa kitu chochote sababu siyo mtu wa mfumo ni wakupewa maelekezo, sahivi Wizara ya Nishati ni kama haina Waziri maana kutwa anazunguka tu kusifia na kupokea poshoWahuni siyo watu wazuri,juzi kwani hujamsikia JK akimsifu Biteko kuwa uteuzi wake ni sahihi kabisa.Hao ndiyo ukute walimshauri Bi.Mchele baada ya kuona mtu wao January katolewa basi wakasema umpe Dotto na cheo cha Naibu Waziri Mkuu.Hapo sasa ndiyo Wahuni wanacheza na gepu,anaandaliwa ziara za kisiasa kama zote na anasahau jukumu la Uwaziri wa Nishati.
Ni kama Samia tu anavyoandaliwa shughuli,akitoka huku anaenda huku ili Wahuni wafanye yao!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
January kaondoka wizarani..... Bado kuna tatizo tu nishati? Linatoka wapi tena na tatizo limeondolewa?Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.