Waziri Biteko anakosa mshauri wa kisiasa. Hana muda na Wizara ya Nishati, muda mwingi anatumia kujitangaza mikoani na ameanza kupoteza mvuto jukwaani

Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.

Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa

Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.

Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.

Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.

Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
Swadakta
 
Pengine aliyoyakuta ni mazito kuliko alivyotegemea..kuna mikataba ya ajabu ajabu January ameisaini..pesa zimetoka ila watu hawapo site.

Kaona bora ajiliwaze tu muda uende aondoke.

Juzi alienda chato kwa baba yake kumuomba amuepushie hiko kikombe.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Noma sana
 
Vyeo viwili kwa wakati mmoja kwa Biteko ndio changamoto. Ana mambo ya kiserikali na mambo ya wizara.

Mara nyingi anatumwa kwenda kufanya hiyo kazi na waziri Mkuu ama rais mwenyewe.

Matatizo ya wizara ya nishati yanajulikana na suluhisho lake linajulikana, Biteko hata awepo ofisini hakuna atakachobadilisha.

Kwa sasa wizara, TANESCO na nchi kwa ujumla matumaini yao ni Bwawa la Mwalimu Nyerere kuwashwa mwaka kesho ili umeme uwake, hakuna mbadala mwingine wowote ulioko hapa karibu wa kutatua changamoto ya umeme, hakuna.

Walioharibu ni kina Makamba na maharage, wamekaa pale miaka 2 mizima hakuna cha maana walichokifanya, wakashindwa hata kuanzisha mradi mmoja wa umeme wa solar ama upepo ambao ungeweza kukamilika ndani ya miezi 18 hadi 24. Wao wakakalia wizi, media coverage na publicity tu.
Bitter truth
 
Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.jiulize kwa nini wakoloni hawakujenga shule

Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa

Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.

Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.

Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.

Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
Wasukuma leadership skills ni zero, jiulize kwa nini wakoloni hawakujenga shule kwa kipindi kile walichotutawala?
 
Nadhani macho yako yapo focused na Biteko peke yake.
Uhalisia ni kwamba viongozi wengi toka marekebisho ya baraza la mawaziri wamekuwa field na sio ofisini.

Mawaziri na Manaibu wao wote wapo field. Kwa jicho pana utagundua kuwa there is something pre-planned. Yanayofanywa sasa yamepangwa na wananchi tumepangika haswa.

Imefika wakati media zote zinamulika ziara za mawaziri na manaibu wao. Nothing much is reported.

Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.

Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa

Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.

Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.

Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.

Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
 
Umeme kishawapa Tanesco miezi 6. Unataka akae hapohapo anangojea mpaka lini?

Kumbuka huyo ni Naibu Waziri Mkuu pia.
Naibu Waziri mkuu ana kazi gani kikatiba? Huo unaibu waziri mkuu ni upuuzi tu. Uwezo wake utapimwa kwenye nishati.
 
Kazi yake ni kumsaidia waziri mkuu. Siyo kila kazi imeainishwa utendaji wake kikatiba. Katiba ya Tanzania imempa uhuru Rais kubuni kazi ambazo anaona zina manufaa kwa taifa.

Kwani unataka kumshauri kisiasa akakukatalia? Si ukampe ushauri?
 
Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.

Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa

Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.

Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.

Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.

Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
Wivu 😂😂

View: https://twitter.com/OUtalii/status/1713443876587868183?t=jhunkkQtqri2MbaOHZRU3A&s=19
 
Ninakubaliana nawe kwenye mada yako; lakini nimeona nilinyanyue hili hapa ambalo pengine hujalitafakari vizuri.
Hao 'Critical Thinkers' na 'Analysts' unaozungumzia wewe, kwani huwaoni hata humu akina Faiza Fox; akina Lucas, Choice..., n.k.
Hao chawa walioenea kila sehemu huoni kazi zao.

Kama huoni hivyo wewe, basi ujue wenzio hao ndio wanaokidhi mahitaji yao. Standard zako, siyo zao.
Acha ujingai,Yani Faiza na Lucas ni crtical thinker's??
 
Ninakubaliana nawe tena, ingawaje kunipa heshima ya "ujinga" inakufanya wewe kuonekana kuwa mpumbavu.
Ninachokubaliana nawe ni hilo la "critical thinkers" kuwahusu hao watu wawili na wengineo. Msemo sahihi unaowahusu hawa ni "Think tanks", na siyo "Critical tinkers".
Nilitumia 'phrase' hiyo kwa vile ndiyo iliyotumiwa mwanzo.

Lakini najua pengine hata hii ya 'think tank' badokwa mtu kama wewe usijue usahihi wake hapa.
 
Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.

Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa

Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.

Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.

Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.

Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
Dotto-Toilet Paper …
hajielewi na Hana mvuto…angejua kuwa Kawekwa pale kubalance siasa za kanda ya Ziwa hasa baada ya ziara iliyofanikiwa ya wapinzani.
walioshauri achaguliwe waliamishwa kuwa yeye ndio mwenye nguvu kanda ya Ziwa hasa kwenye kundi maarufu la Genge ….mahesabu ni tofauti hana ushawishi wowote kule ..pengine ana ushawishi kwenye kendo la inner circle yeye na Kalemani na Ngussa na wana pesa za Kutosha…lakini chini hawana watu …….Magufuli Hakuwahi kuwapenda wasukuma original …wengi wao waliteseka tu kama wengine …..kuna kundI dogo ambalo walijinasibu kama wasukuma wakiwa nje lakini huko ndani wanajuana
 
Akisoma hapa ataelewa kitu hila kama ata soma basi
Akisoma ataelewa kwamba fitina Sasa zimeanza akae mguu sawa...wale wanaogopa ujio wake..mbinu chafu dhidi yake ni nyingi afanye kazi zake kwa taadhari kubwa
 
Dotto-Toilet Paper …
hajielewi na Hana mvuto…angejua kuwa Kawekwa pale kubalance siasa za kanda ya Ziwa hasa baada ya ziara iliyofanikiwa ya wapinzani.
walioshauri achaguliwe waliamishwa kuwa yeye ndio mwenye nguvu kanda ya Ziwa hasa kwenye kundi maarufu la Genge ….mahesabu ni tofauti hana ushawishi wowote kule ..pengine ana ushawishi kwenye kendo la inner circle yeye na Kalemani na Ngussa na wana pesa za Kutosha…lakini chini hawana watu …….Magufuli Hakuwahi kuwapenda wasukuma original …wengi wao waliteseka tu kama wengine …..kuna kundI dogo ambalo walijinasibu kama wasukuma wakiwa nje lakini huko ndani wanajuana
Acha chuki basi.. changamoto ya wa Tanzania mliowengi mnajifanya wajuaji sana..hapo ndio shida inaanzia..Kwanza Nani alikwambia Dotto ni msukuma..
 
Hapo sahihi kabisa nachokiona anazunguka tu kumsifia bibi tozo wala hakuna la maana anafanya
 
Wahuni siyo watu wazuri,juzi kwani hujamsikia JK akimsifu Biteko kuwa uteuzi wake ni sahihi kabisa.Hao ndiyo ukute walimshauri Bi.Mchele baada ya kuona mtu wao January katolewa basi wakasema umpe Dotto na cheo cha Naibu Waziri Mkuu.Hapo sasa ndiyo Wahuni wanacheza na gepu,anaandaliwa ziara za kisiasa kama zote na anasahau jukumu la Uwaziri wa Nishati.
Ni kama Samia tu anavyoandaliwa shughuli,akitoka huku anaenda huku ili Wahuni wafanye yao!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ukiona humo ndani JK na Rostam wapo ndani jua ni dili tu hapo zinawekwa sawa, wameona Dotto hawezi kukataa kitu chochote sababu siyo mtu wa mfumo ni wakupewa maelekezo, sahivi Wizara ya Nishati ni kama haina Waziri maana kutwa anazunguka tu kusifia na kupokea posho
 
Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.

Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa

Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo ya kitaaluma yanayohitajika Wizara ya Nishati kwa sasa.

Hii yote ni kukosekana kwa critical thinkers na political analysist kwenye cycle binafsi ya wanasiasa wa Tanzania. Wao ndio wanaweza, wanapanga na kutekeleza.

Duniani kazi ya kuwaza na kupanga mikakati wanafanya wengine na mwanasiasa anabaki na utekelezaji wa kilichochakatwa.

Dotto rudi ofisini kama wiki tatu hivi mfululizo usome majalada utabaini jukumu walilokupa linaweza kuwa liability kwako siku za mbeleni
January kaondoka wizarani..... Bado kuna tatizo tu nishati? Linatoka wapi tena na tatizo limeondolewa?
 
Back
Top Bottom