Waziri Biteko anakosa mshauri wa kisiasa. Hana muda na Wizara ya Nishati, muda mwingi anatumia kujitangaza mikoani na ameanza kupoteza mvuto jukwaani

Una mradi wa Stigliers Gorge trillion 7 point halafu unaanzisha mradi mwingine kirahisi hivyo hivi unafikiri wewe?
 
Utskua wale wahuni anaosema polepole. Biteko amateuliwa pia kua naibu waziri mkuu. Unataka akae ofisini kwani yeye ni CEO. waziri anafanya kazi popote na akiwa kwenye ziara kikazi ni sawa yuko ofisini. Sio lazima awe ofisini kwake tu.
 
ila watanzania bana mtu akikaa ofisini malalamiko hatoki kwa wananchi.
akitoka kwa wananchi malalamiko anazurura.
 
Anajiandaa kwa uPM ndiyo maana hatulii kila siku ni kuhutubia mikutabo utadhani ni karibu wa siasa uenezi na propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…