Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui vibali vinakopatikana na kuna uwezekano gas imejaa mjini Hujui iliko .Kwa muda sasa kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata watumiaji wa magari ya gas. Foleni ya kujaza gas ni masaa 3 hadi 4.
Hakuna sababu za msingi zaa kunyima watu vibali vya ujenzi wa vituo vya gas. Wajibisha hawa watu ili hili tatizo liishe.
Wanalinda wafanya biashara za mafutaKwa muda sasa kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata watumiaji wa magari ya gas. Foleni ya kujaza gas ni masaa 3 hadi 4.
Hakuna sababu za msingi zaa kunyima watu vibali vya ujenzi wa vituo vya gas. Wajibisha hawa watu ili hili tatizo liishe.
NdioNaomba kuuliza ile foleni ya magari karibu na kituo cha mwendokasi Ubungo ndio foleni ya kujaza Gas??
Umemaliza kila kitu hapa... Na pia kuongezea wenye nchi wanaogopa kupoteza mapato makubwa yanayopatikana kirahisi kutoka kwenye mafuta... Yaani nina uhakika kabisa kama zikitokea kampuni zenye uwezo na mtaji wa kutosha kugeuza magari kutoka kwenye kutumia mafuta kwenda kwenye gas na pia kuweka vituo maeneo mengi mpaka mikoani lazima watapigwa zengwe tuuWanalinda wafanya biashara za mafuta
Umemaliza kila kitu hapa... Na pia kuongezea wenye nchi wanaogopa kupoteza mapato makubwa yanayopatikana kirahisi kutoka kwenye mafuta... Yaani nina uhakika kabisa kama zikitokea kampuni zenye uwezo na mtaji wa kutosha kugeuza magari kutoka kwenye kutumia mafuta kwenda kwenye gas na pia kuweka vituo maeneo mengi mpaka mikoani lazima watapigwa zengwe tuu