Pale wananatakiwa wakuzwe wafumuliwe wote. Suala la customer care limekuwa ni mtihan sana. Nchi hiiNakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:
View: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z
Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanavmchafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa uiiwaasa unajirudia kila kukicha.
"Haya mkayaangalie na hayo, Mimi sitaki nidhamu ya uwoga" Gwajimanizer 🤣Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:
View: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z
Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanavmchafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa uiiwaasa unajirudia kila kukicha.
Sio TANESCO peke yake, chini ya huyu shoga ako sa100 mambo meengi yameoza.Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:
View: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z
Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanavmchafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa uiiwaasa unajirudia kila kukicha.
Bibiye, kumbe bado upo! Kitambo sana umeadimika humu jukwaani.Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:
View: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z
Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanavmchafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa uiiwaasa unajirudia kila kukicha.
Siyo kwamba hizi nchi ulizo zitaja hapa una maslahi nazo! Haiwezekani nchi zote ziwe ni za mlengo mmoja unaofanana.Hizi idarq zinatqkiwa zifumuliwe juu chini zote.
.vijana wanaomaliza vyuo wapelekwe on hands training nchi zinazojitambua kama Saudi Arabia,UAE, Oman au Qatar. Wapate exposure.
Wasipelekwe magharibi, wanaishia kuwa vibaka tu wakirudi huko.
Wewe si huwa unajifanya mfia dini mwanamke kuwa kiongozi inaswihi?CCM imeshapita, nani wa kushindana nayo muda huu?
Sasa tunapiga pasi tu.
Usilalamike.Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:
View: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z
Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanachafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa ukiwaasa unajirudia rudia kila kukicha.
Kupita huku mnateka na mnaua wengine haileti baraka katika uongoziCCM imeshapita, nani wa kushindana nayo muda huu?
Sasa tunapiga pasi tu.
Unamharibia Mheshimiwa BitekoCCM imeshapita, nani wa kushindana nayo muda huu?
Sasa tunapiga pasi tu.
Kiini cha shida kinajulikana ila mnajifanya hamuoni🚮Hizi idarq zinatqkiwa zifumuliwe juu chini zote.
.vijana wanaomaliza vyuo wapelekwe on hands training nchi zinazojitambua kama Saudi Arabia,UAE, Oman au Qatar. Wapate exposure.
Wasipelekwe magharibi, wanaishia kuwa vibaka tu wakirudi huko.
Hizo nchi zina uaminifu, uadilifu na nidhamu ya kuheshimu ya juu ya kuheshimu kazi. Nchi hizo zina wafanyakazi kutoka dunia nzima na wote wakifika huko wanajifunza kuwa na nidhamu ya hali ya juu ndiyo maana nimezitaja.Siyo kwamba hizi nchi ulizo zitaja hapa una maslahi nazo! Haiwezekani nchi zote ziwe ni za mlengo mmoja unaofanana.
Hizi idarq zinatqkiwa zifumuliwe juu chini zote.
.vijana wanaomaliza vyuo wapelekwe on hands training nchi zinazojitambua kama Saudi Arabia,UAE, Oman au Qatar. Wapate exposure.
Wasipelekwe magharibi, wanaishia kuwa vibaka tu wakirudi huko.
Yaani hiki kitengo ni hora kifutwe. Mimi nina wiki sasa sina huduma ya umeme nyumbani. Nimekuwa napiga simu mara mbili hadi nne kwa siku.Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii: