Hizi habari zina uthibitisho?
alikua waziri wa nchi ofis ya rais menejimenti ya utumishi wa umma!
Ugonjwa mmegeuza siasa wenyewe kwa hiyo si ajabu na wengine wakatumia fursa hii kuwaonya msipende kudhihaki mtu kwa ugonjwa muwe na utu kwani suala la ugonjwa mtu haandiki barua kuliomba,na ugonjwa usiwe sababu ya kuzima ndoto ya mtuKila kitu sasa mnageuza siasa hata kifo...! Kufilisika sera kubaya sana....
Hii ndio siasa ya tz akifariki cdm mungu aiweke roho ya kamanda/jasiri shupavu mahala pema ila wa ccm hapaswi kupewa rip kweli tz tuna safari ndefu kufika kwenye siasa bora,mungu ailaze roho ya mama Celina mahal pema amen.
hivi ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa Bunge sometimes back?sijawahi kumsikia akitukana lakini