TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

Kila kitu sasa mnageuza siasa hata kifo...! Kufilisika sera kubaya sana....

Mkuu naona hapa unathibitisha ule usemi wa Mkuki kwa Nguruwe nyie sindio mlianza kugeuza Ugonjwa wa Lowasa kuwa ni SIASA
 
Afya ni rehema kutoka kwa MWENYEZI MUNGU wazima watawaacha wagonjwa na wagonjwa watawasindikiza waliokuwa wazima Mungu ni wetu sote
 
May Her Soul Rest in Peace. Pole kwa familia, ndugu na rafiki, Chama chake na watu wa Ulanga na SUA community. One by one we shall follow.
 
Poleni ndugu na jamaa wa karibu .Tukumbuke sisi ni mavumbi na hapa duniani ni wapitaji tu
 
Mungu awape faraja wafiwa wote, familia yake, ndugu jamaa na marafiki na wote walioguswa na msiba huu. RIP mama Kombani
 
Tz ni zaid ya unavyoijua hii inanikumbusha kifo cha aliyekuwa waziri wa fedha (Mgimwa)
 
Habari zilizotufikia jioni hii zinasema kwamba Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina-Ompeashi-Kombani (pichani), amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani.-

Taarifa kutoka ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kueleza kwamba mwili wa marehemu unategemewa kuwasili Dar es salaam siku ya Jumatatu, ambapo Bunge na Serikali zitasimamia maandalizi yote ya maziko na kumsafirisha kwa mazishi nyumbani kwa marehemu huko Mahenge ambako alikuwa Mbunge wa jimbo la Ulanga.-
 
Back
Top Bottom