TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

Afya ni rehema kutoka kwa MWENYEZI MUNGU wazima watawaacha wagonjwa na wagonjwa watawasindikiza waliokuwa wazima Mungu ni wetu sote

Mungu akubarki kwa maneno yako ya busara japo wajinga hawaamini ktk hekima
 
Hakuna mkataba wa afya na Mungu wale wanaotukana watu kwenye majukwaa utafikir wao ni wajukuu wa Mungu wajifunze

There is no right time to go
Pumzka mama celina komban sikukusikia ukitoa lugha chafu km kina stela manyanya
 
ahahaha,nyie mnatengeneza hayo mazingira:
)acheni dharau
a)acheni kiburi na ghilba
c)acheni maneno ya shombo na dhihaka
d)acheni kujifanya miungu watu kuwachuria wenzenu vifo!
E)halafu mtende haki,mje muone kama tutaandika kinafki kama tunavyo mwandikia huyu gamba mwenzenu
f)heshimuni na muwapende watz muone kama hawajawazika kwa heshima zote!
G)muda upo,jirekebisheni magamba nyie!

rest in peace madame celina kombani.mwanga wa milele umpe eeh bwana...apumzike kwa amani..

Ni kweli sio vema kufurahia kifo ...na sio vema pia kukejeli afya ya binadamu
 
RIP Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi.

Daima utabaki moyoni mwangu Dr slaa nahitaji siku moja nikuone umevaa gwanda kabla sijapoteza uhai wangu plzzzz tuijenge chadema yetu
 
Jamani huyu mama kaniuma utafikiri namjua!! anafia nini na mafisadi wanatesa tu? Yaani watu wazuri kweli hawakai humu duniani. Eh Mungu turehemu!
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..

Celina.jpg


Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ulanga East constituency since 2005.

She was the Minister of State in the President's Office for Public Service Management.
 
Tuwe na chembechembe za UTU. Pole wote mlioguswa na msiba huu.
 
Mkulu lazima atafanya teuzi hapa maana bado mawaziri wapo kazini
 
Back
Top Bottom