Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
RIP Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi.
Afya ni rehema kutoka kwa MWENYEZI MUNGU wazima watawaacha wagonjwa na wagonjwa watawasindikiza waliokuwa wazima Mungu ni wetu sote
ahahaha,nyie mnatengeneza hayo mazingira:
)acheni dharau
a)acheni kiburi na ghilba
c)acheni maneno ya shombo na dhihaka
d)acheni kujifanya miungu watu kuwachuria wenzenu vifo!
E)halafu mtende haki,mje muone kama tutaandika kinafki kama tunavyo mwandikia huyu gamba mwenzenu
f)heshimuni na muwapende watz muone kama hawajawazika kwa heshima zote!
G)muda upo,jirekebisheni magamba nyie!
RIP Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi.
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..
Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ulanga East constituency since 2005.
She was the Minister of State in the President's Office for Public Service Management.