Waziri Chamurilo: Familia(Mfugale) wameonesha sintofahamu (ombwe) kwamba ilikuwa haifahamu, Mhandisi Mfugale alisema anajisikia vibaya kikaoni

aisee. kwa hiyo hamna anayejua sababu ya kifo...
 
Labda mshtuko wa moyo ripoti ilipowadia. Concidence gani hii??
Waangalie pia mfumo wa chakula kwa maana mwwweh!
 
Kama ni sudden suspicious death inawarrant postmortem.
Kwa kuwa ndugu hawajaridhishwa ni vyema independent forensic patholigist ahusishwe.
 
Ukiwasikiliza pande zote mbili ni utata.
Mfugale alifia ofisini kwenye kiti.
Hao hawajawahi kuuguza.
Aliyeuliza swali kwa wafanyakazi"Kimetokea nini"
Kwa swali hili inamaana walimkuta amefariki ndio kujifanya wanamkimbiza hospital,na KM hadi anatoka kikaoni bila shaka walimtonya Hali ya mzee
 

Jamani, tunahitaji kujifunza kuwa na uharaka wa kuwasaidia wale tunaokuwa nao penye changamoto za afya.
Mfano, mtu anatoka kwenye kikao kwamba anajisikia vibaya, akimbizwe hospital badala ya ofisi nyingine kupumzika.
Anaposema ongezeni AC iwe baridi zaidi, ninadhani ilikuwa ni muda muafaka wa kuita Dr.
Hata hivyo, hizi ni juhudi za kibinadamu ambazo zina ukomo.

Natoa pole sana kwa familia yake, pamoja na ndugu, marafiki na wale aliokuwa nao mkutanoni.
 
Yaani mtu.mzima kiumri anasema anajisikia vibaya unamwambia akapumzike ofisini? Kwa nini hakuwahishwa hospital? Unaenda kumwangalia ofisini kwani wewe KM ni daktari? Elezeni vizuri kilichotokea na ugonjwa tajeni maana familia yake haielewi. Hata Sisi huku Kwampalange hatuelewi.
 
Njia ndefu wanatoa
Yaani kikao kinaendelea mtu anasema anajisikia vibaya,tena anasema ongezeni kiyoyozi.
Mauti ilimkuta ofisini
Magari walikuwa wanatafuta akahifadhiwe mortuary

NB!
Mtu mzima akisema anajisikia vibaya chukua hatua.
Vijijini ndio huwa tunamwangalia mtu kwa mda kwani hakuna hospitali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…