Waziri Chamurilo: Familia(Mfugale) wameonesha sintofahamu (ombwe) kwamba ilikuwa haifahamu, Mhandisi Mfugale alisema anajisikia vibaya kikaoni

Waziri Chamurilo: Familia(Mfugale) wameonesha sintofahamu (ombwe) kwamba ilikuwa haifahamu, Mhandisi Mfugale alisema anajisikia vibaya kikaoni

Wana dharau kwanza wanatakiwa kuchunguzwa utajiri aliouoata aliupata vip?
Kwa hiyo nafasi na muda aliifanya kazi ataachaje kuwa tajiri. Ukizngatia pia hii Ni Bongo Land. Hata we usingekuwa tajiri tu ungekuwa bilionea
 
Hebu tuchanganulie utajiri wa mtu huyu. Ni vema tukajua ukwasi alionao iwapo unalingana na kipato chake.
Anayetakiwa kufanya hilo ni yule mshirika wake waliyeshirikiana kuiba. Mafisadi ya CCM yachunguzane. Ina make sense kweli.
 
Back
Top Bottom