Vandetta JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 1,572 Reaction score 1,951 Jul 3, 2021 #121 kigogo warioba said: Mkuu kwa hio kwa ufisadi huo ndio maana wakamuwahisha? Kama ni ufisadi ni wa baba yao watoto inawahusu nini? Kwa hio kwakua tu ni mafisadi afya ya baba yao haiwahusu si ndio!? Click to expand... Hajielewi kachizika na ulevi unaitwa siasa
kigogo warioba said: Mkuu kwa hio kwa ufisadi huo ndio maana wakamuwahisha? Kama ni ufisadi ni wa baba yao watoto inawahusu nini? Kwa hio kwakua tu ni mafisadi afya ya baba yao haiwahusu si ndio!? Click to expand... Hajielewi kachizika na ulevi unaitwa siasa
C CHAZA JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 8,309 Reaction score 5,701 Jul 4, 2021 #122 babu M said: Watu wengine hapa Tanzania hawana elimu ya huduma ya kwanza. Wangeweza hata ku check heart rate(pulse) manually, and respiration! Click to expand... How? Toa darasa.
babu M said: Watu wengine hapa Tanzania hawana elimu ya huduma ya kwanza. Wangeweza hata ku check heart rate(pulse) manually, and respiration! Click to expand... How? Toa darasa.
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Jul 9, 2021 #123 technically said: Wana dharau kwanza wanatakiwa kuchunguzwa utajiri aliouoata aliupata vip? Click to expand... Kwa hiyo nafasi na muda aliifanya kazi ataachaje kuwa tajiri. Ukizngatia pia hii Ni Bongo Land. Hata we usingekuwa tajiri tu ungekuwa bilionea
technically said: Wana dharau kwanza wanatakiwa kuchunguzwa utajiri aliouoata aliupata vip? Click to expand... Kwa hiyo nafasi na muda aliifanya kazi ataachaje kuwa tajiri. Ukizngatia pia hii Ni Bongo Land. Hata we usingekuwa tajiri tu ungekuwa bilionea
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Jul 9, 2021 #124 gimanini said: Poleni familia, poleni Watanzania, kazi ya Mungu siku zote haina makosa, tumpe Mungu sifa na utukufu. Click to expand... Huyu MUNGU anapata sana shida. Kila kitu anapakaziwa yeye.
gimanini said: Poleni familia, poleni Watanzania, kazi ya Mungu siku zote haina makosa, tumpe Mungu sifa na utukufu. Click to expand... Huyu MUNGU anapata sana shida. Kila kitu anapakaziwa yeye.
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Jul 9, 2021 #125 Root said: House Cleaning Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Weka nyama nyama kidogo [emoji1787][emoji1787]
Root said: House Cleaning Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Weka nyama nyama kidogo [emoji1787][emoji1787]
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Jul 9, 2021 #126 Kifaurongo said: Hebu tuchanganulie utajiri wa mtu huyu. Ni vema tukajua ukwasi alionao iwapo unalingana na kipato chake. Click to expand... Anayetakiwa kufanya hilo ni yule mshirika wake waliyeshirikiana kuiba. Mafisadi ya CCM yachunguzane. Ina make sense kweli.
Kifaurongo said: Hebu tuchanganulie utajiri wa mtu huyu. Ni vema tukajua ukwasi alionao iwapo unalingana na kipato chake. Click to expand... Anayetakiwa kufanya hilo ni yule mshirika wake waliyeshirikiana kuiba. Mafisadi ya CCM yachunguzane. Ina make sense kweli.
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Dec 20, 2021 #127 RIP
kimsboy JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 9,846 Reaction score 20,319 Dec 14, 2022 #128 Fisadi mkubwa lipo kuzimu huko