Duu hayo Ndiyo matumizi mazuri ya pesaWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi, amesema wakati wa uzinduzi wa Sera ya Ardhi ya mwaka 1995, toleo la 2023, jijini Dodoma katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, kuwa maelekezo ya Rais Samia kuhusu upangaji na upimaji wa ardhi yamefanikiwa kwa kiwango cha juu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
Amesema katika utekelezaji wa maelekezo hayo, serikali imetoa takribani shilingi bilioni 50 ambapo Wizara ya Ardhi kwa kushirikiana na TAMISEMI zimezikopesha halmashauri zaidi ya 52 kwa ajili ya upimaji wa ardhi.
Pia, serikali iliridhia na kutoa bilioni 133 kwa ajili ya vitendea kazi mbalimbali vya kuboresha sekta ya ardhi, ikiwa ni pamoja na ununuzi wa magari 70 ambayo yamekabidhiwa rasmi kwa Wizara ya Ardhi na Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika hatua nyingine, serikali imewekeza Dola za Marekani milioni 65 kwa ajili ya kutengeneza ramani msingi mpya ya nchi, jambo ambalo kwa mara ya mwisho lilifanyika mwaka 1978.
Dola za Marekani milioni 65 kwa ajili ya kutengeneza ramani msingi mpya ya nchi
Mwaka wa kutafuta hela za kampeni kunakua na miradi isiyo na kichwa wala miguu.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi, amesema wakati wa uzinduzi wa Sera ya Ardhi ya mwaka 1995, toleo la 2023, jijini Dodoma katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, kuwa maelekezo ya Rais Samia kuhusu upangaji na upimaji wa ardhi yamefanikiwa kwa kiwango cha juu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
Amesema katika utekelezaji wa maelekezo hayo, serikali imetoa takribani shilingi bilioni 50 ambapo Wizara ya Ardhi kwa kushirikiana na TAMISEMI zimezikopesha halmashauri zaidi ya 52 kwa ajili ya upimaji wa ardhi.
Pia, serikali iliridhia na kutoa bilioni 133 kwa ajili ya vitendea kazi mbalimbali vya kuboresha sekta ya ardhi, ikiwa ni pamoja na ununuzi wa magari 70 ambayo yamekabidhiwa rasmi kwa Wizara ya Ardhi na Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika hatua nyingine, serikali imewekeza Dola za Marekani milioni 65 kwa ajili ya kutengeneza ramani msingi mpya ya nchi, jambo ambalo kwa mara ya mwisho lilifanyika mwaka 1978.
Ccm mbere kwa mbereWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi, amesema wakati wa uzinduzi wa Sera ya Ardhi ya mwaka 1995, toleo la 2023, jijini Dodoma katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, kuwa maelekezo ya Rais Samia kuhusu upangaji na upimaji wa ardhi yamefanikiwa kwa kiwango cha juu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
Amesema katika utekelezaji wa maelekezo hayo, serikali imetoa takribani shilingi bilioni 50 ambapo Wizara ya Ardhi kwa kushirikiana na TAMISEMI zimezikopesha halmashauri zaidi ya 52 kwa ajili ya upimaji wa ardhi.
Pia, serikali iliridhia na kutoa bilioni 133 kwa ajili ya vitendea kazi mbalimbali vya kuboresha sekta ya ardhi, ikiwa ni pamoja na ununuzi wa magari 70 ambayo yamekabidhiwa rasmi kwa Wizara ya Ardhi na Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika hatua nyingine, serikali imewekeza Dola za Marekani milioni 65 kwa ajili ya kutengeneza ramani msingi mpya ya nchi, jambo ambalo kwa mara ya mwisho lilifanyika mwaka 1978.
Na umeme usipotoka Ethiopia tutanunua hata wa Angola.Mwaka wa kutafuta hela za kampeni kunakua na miradi isiyo na kichwa wala miguu.
Tunataka Katiba Mpya acheni kuzunguka zungukaWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi, amesema wakati wa uzinduzi wa Sera ya Ardhi ya mwaka 1995, toleo la 2023, jijini Dodoma katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, kuwa maelekezo ya Rais Samia kuhusu upangaji na upimaji wa ardhi yamefanikiwa kwa kiwango cha juu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
Amesema katika utekelezaji wa maelekezo hayo, serikali imetoa takribani shilingi bilioni 50 ambapo Wizara ya Ardhi kwa kushirikiana na TAMISEMI zimezikopesha halmashauri zaidi ya 52 kwa ajili ya upimaji wa ardhi.
Pia, serikali iliridhia na kutoa bilioni 133 kwa ajili ya vitendea kazi mbalimbali vya kuboresha sekta ya ardhi, ikiwa ni pamoja na ununuzi wa magari 70 ambayo yamekabidhiwa rasmi kwa Wizara ya Ardhi na Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika hatua nyingine, serikali imewekeza Dola za Marekani milioni 65 kwa ajili ya kutengeneza ramani msingi mpya ya nchi, jambo ambalo kwa mara ya mwisho lilifanyika mwaka 1978.
HeheheheUpigaji katika ubora wake!
HeheheRamani msingi ya nchi ikoje
Hiyo ramani ina umuhimu gani wakati Kuna google maps
Acha hela zitumikeHiyo ramani ina umuhimu gani wakati Kuna google maps
Watakula wapi, kikikiki,Acha hela zitumike