Waziri Deogratius Ndejembi: Bilioni 163 zimetengwa ili kutengeneza ramani mpya ya Tanzania, magari 70 kununuliwa

SSH mitano tena anatuchorea hadi ramani mpya duh!!
 
Serekali imejaa mipango isiyotekelezeka kwa lengo lengwa isipokuwa uhakika wa kunufaika watendaji wa Wizara na Idara.
Tujikumbushe:
1. Lukuvi aliishawahi kuja na mpango kabambe wa mipango miji yote kwa mikoa yote....Hora!
2. Nepi Mnauye aliishawahi kusimamia uanzishwaji na uwekaji namba za mitaa na nyumba mitaani tena akiziangalia kwa makini kutoka ndani ya helikopter .... Hora! 😝
3. Edward Lowassa aliwahi kutoa kali zaidi, aliwahi kwenda mashariki ya mbali kutafuta utaalamu wa kutengeneza mvua..... Matokeo yake leo hii mvua inanyesha Dar!.
Du!! Nchi ya Futuhi sana hii hadi kichwa kinauma.... 😢
 
Rekebisheni.kwanza ramani.iliyopo.watu.wanajenga mpaka road.reserve. Anuani za makazi.vibao vinadondoka hakuna cha postal.code wala bamia
 
BADO MWEZI APRIL, MAY, JUNE, JULY, AUGUST, SEPTEMBER, NA OCTOBER; MPAKA KUFIKIA HIYO OCTOBER TUTASHUHUDIA MENGI, STAY TUNED
 
Hapa kuna dalili za upigaji. Open data source zipo nyingi ambazo unapata kila kitu. Sijui wanalenga kufanya kitu gani kipya?
Kama data wanazotegemea kufanya hazitafika level ya mtaa boundary kwa budget hiyo itakuwa ni upigaji.
Wahuni tu hawa

Ova
 
Acha Trump na Elon Musk watubane. Huo wote ni mchongo.
 
Ukiwa waziri kipindi hiki hakyanani ni utajiri wa wazi
 
Nikishaona kiongozi yoyote amejivimbiavimbia tu (irregular structure), napigilia mstari kuwa kichwani ni {} set. Kwa hiyo huyu jamaa pamoja na watendaji wengine wa wizara wamefanya tafakuri ya kina na kuona kuwa ramani ya nchi ndio kipaumbele cha Watanzania kwa sasa katika sekta ya ardhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…