GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kagame amewezaje ku dhibiti matapeli wachache ,unapokea nyumba na gari bila kufanya kazi kwa bidii , umaskini haitapungua wanaotoa pesa Bure wanazitoa wapiTena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
Media au mitandao ya kijamii ndio itakupandisha au kukushusha.usitafute mchawi wako wakati kunguni nishakutajiaTena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
Sekta gani huko makanisani wanakofanyiwa ujinga mbona yupo kimya!Ashakua Polisi tena?
We kweli Dish liko kisarawe mdam kafanya hivyo sababu lile liliangukia kwa sekta yake.
Kaka makanisa yamesajiliwa na serikari haina Dini ila kwa mtoto wa kike kusema analala na nyoka ni udharirishaji wa kijinsia.Hapo Ndio Gwajima kaingulia hakurupuki huyu bibi mkubwaaSekta gani huko makanisani wanakofanyiwa ujinga mbona yupo kimya!
Wakati mwingine nchi inaunafiki sana.
Sawa mkuuKaka makanisa yamesajiliwa na serikari haina Dini ila kwa bint wa kike kusema analala na nyoka ni udharirishaji wa kijinsia.Hapo Ndio Gwajima kaingulia hakurupuki huyu bibi mkubwaa
Binti wa kike tena? Siku hizi kuna mabinti wa kike na wa kiume? Au mapungazezeKaka makanisa yamesajiliwa na serikari haina Dini ila kwa bint wa kike kusema analala na nyoka ni udharirishaji wa kijinsia.Hapo Ndio Gwajima kaingulia hakurupuki huyu bibi mkubwaa
Dah, tatizo evidence mkuu 😂😂..Tena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
Nilighafirika mkuuu My apology.Binti wa kike tena? Siku hizi kuna mabinti wa kike na wa kiume? Au mapungazeze
Umesahau mawaziri na viongozi serikalini.....kuna wezi zaidi ya hawa?Tena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
Including yule wa kufufua misukule fekiTena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
Huyu dada nilikuwa namuheshimu sana ila kwa sasa naona kama anaanza kuwehuka vile.....anaacha kupeleka muswada wa kukamata vibaka wa ukweli bungeni eti anakuja kutafuta walalahoi huku mitaani.Tena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
Kwanini asikamatwe huyu waziri kwanza maana anajidhalilisha tuTena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.