Waziri Dkt. Dorothy Gwajima amesema ukitaka kumchapa mtoto umuombe ruhusa. Hili linawezekana vipi?

akikataa usimchape lazima umuulize nipesababu akikushawishi kwann aliiba hela mezani yamama ake unamwacha ,uzembe wamama anapigwaje mtoto ,utapiga anakufa unaozea jela.....sheria haitambui kumpiga mtoto.good to bargain
 
Viongozi wote wanaotumia nguvu badala ya akili wengi ni zao la ukatili wa kupigwa utotoni
 
Ukimwita mwanao na kumwambia unataka umchape, si utampa sababu? Atakuomba msamaha, Sidhani kama utaendelea kumchapa.
 
Si wa kumsikiliza huyu, baadae anaeza anza kuwashangaa kwa uamuzi huo.
 
Huyu mama ni kielelezo kuwa sifa kuu ya mtu kuwa kiongozi Tanzania ni asiwe na akili timamu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…