DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Haya haya sasa...mjadala umebadilika na kuwa vichambo...dj walete


Ujue tunawasoma hvyooooo...
 
Wewe mpumbavu acha kujitanua kama kifutu. Usidhani kila mtu anatishwa na huo upumbavu wako wa udini. Mimi nakuona mshenzi usiye na adabu kwa mtu yeyote. Wewe bibi unaaibisha waliokulea. Tabia zako kama za kapurwa fulani wa mitaani. Charismatic fella GENTAMYCINE kaja na uzi mzuri ila usivyo na adabu unamuita mwehu. Acha ushenzi wewe bibi.
 
Hapo umesema ukweli wako, kuwa unakwenda kuzima moto ili upate kuligeuza tatizo kuwa fursa.

Hiyo kama unatembea kwenye "Resilience" ya mama Samia, sasa uje na Reforms.

Dah, kazi tunayo. Kwa kuzima moto tu hujambo na nnakupa maua yako.
Wewe unapenda ligi na mhe waziri ili umfanye aonekane incompetent kwakuwa siyo muislam Mwenzio🙏
 
Umeshindwa kujibu hoja unabwabwaja na kuhororoja na kubweka kama koko.

Jibu hoja wacha viroja.

Mapoyoyo mkishindwa hoja wote, mnakimbilia neno "udini".

Mnaogopa "udini"?
 
Hayo yote ya nini ,mwenye nia ya kuogelea si akaogelee tu kwenye swimming pools.
 
Umeshindwa kujibu hoja unabwabwaja na kuhororoja na kubweka kama koko.

Jibu hoja wacha viroja.

Mapoyoyo mkishindwa hoja wote, mnakimbilia neno "udini".

Mnaogopa "udini"?
Najua hizi comment zako ni za makusudi ili kukera watu. Ungekuwa una akili timamu ungeteuliwa kuwa waziri na sio huo upumbavu uliokujaa. Wewe ni bibi usiye na adabu hata kidogo.
 
Mbona kama Dr gwajima na Faiza foxy mnaanza kusutana

Ikiwapasa kwa hekima yenu mmoja wenu ampuuzie mwenzie ili tujue tunadili vipi na hawa wabakaji wanaobaka binti zetu
 
Yeah hata fire extinguisher zipo, siku hizi ni automatic.

Mara ipo mpya kabisa, mara ile ile inafanyiwa marekebisho, mara tumei extend ya zamani mpaka November. Halafu unatarajia nikuelewe? Unanchekesha.

Hapo sikuelewi hata useme nini, mpaka niione. Au "ipo mpya" mwaka 2025?

Wacha porojo za kisiasa, hapa siyo bungeni.

Reform.
 
Duh....dada yangu mmbishi naona ligi
Inaendelea

Ova
 
Jiheshimu wewe bibi. Kaunde serikali yako uifanyie reform. Waziri Gwajima ni mchapakazi na ni mfano wa kuigwa. Narudia tena JIHESHIMU BIBI. ACHA KUOTA MAPEMBE
Ubaguzi wa dini unamsumbua huyu Mama.
Chuki bila sababu ..dini ukiendekeza sana unakuwa mwehu.,ndio huyu mama alivyo.

Wakati Dr Gwajima ndiye kiongozi aliyejiweka wazi na id halisi na anawasikiliza watz..
Jambo ambalo hata kipenzi chake ameshindwa kulifanya.,yupo amejificha kwenye kichaka cha ID feki.
 
Duh....dada yangu mmbishi naona ligi
Inaendelea

Ova
Aseme ukweli, wadhifa wake hatakiwi kupiga porojo mitandaoni.

Kama ipo plan, aitiwe tuione.

Mbona alinambia ipo nikaitapakuwa mtandaoni, ikaisoma, nikakuta imepitwa na wakati.

Haya kuomba msamaha kwa kunipa wrong information kashindwa, kabaki sasa anapiga porojo tu.


Yeye aliri tu, hawana plan ya bali wanafanhya kazi kwastaili ya zima moto.

Kwani mtu akiwa mkweli na kukiri kuna tatizo lipi?
 
Ndiyo upeo wenu ulipoishia, kama nyinyi hamna dini mnataka kila mtu asiwe na dini?

Mimi najivunia sana kuwa Muislam. AlhamduliLlah.
 
Kama wewe huogelei unapita tu kushoto Mkuu.
Usilete makasiriko.,mada zipo nyingi.
Ama waweza kujitoa uanzishe yako unayoona ina mashiko.


Wewe kutokuogelea haimaanishi kila mtu asiogelee,na haimaanishi si jambo muhimu.


Binafsi yangu kuogelea sijui na wala sina mpango wa kujua,sina mpango wa kwenda huko beach.lakini hii haizuii wengine wasiende,na kama kuna changamoto lazima zitatuliwe.
 
Inatakiwa uwe na mikakati kwanza kabisa.

Naona unatakajitahidi kuuhamisha mjadala. Endelea kufanya jihad.
Sihamishi mjadala.
Viashiria ndio mara nyingi huchochea mikakati.
 
Ndiyo upeo wenu ulipoishia, kama nyinyi hamna dini mnataka kila mtu asiwe na dini?

Mimi najivunia sana kuwa Muislam. AlhamduliLlah.
Kwani ukiwa Muislam ndio unakuwa mjinga kiasi hiki?
Siamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…