DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna jamaa aliwahi kusema anatamani kujitoa mhanga pale bungeni asepe na kijiji cha wajinga
 
kwako.....................serikali haina dini
Serikali mbona inajulikana kuwa ni secular, haifati mfumo wa dini yoyote. Lakini wapo wenye dini zao serikalini.

Hapa tupo Uraiani, au Uraini haturuhusiwi kujivunia dini zetu na kuamrishana mema yake na kukatazana maovu?
 
unajijua tabia zako
 
Wewe mwenyewe una plan gani kwenye maisha yako zaidi ya roho mbaya?
 
Ndiyo upeo wenu ulipoishia, kama nyinyi hamna dini mnataka kila mtu asiwe na dini?

Mimi najivunia sana kuwa Muislam. AlhamduliLlah.
Tatizo wala sio uislamu. Tatizo ni wewe kuwa na chuki kali dhidi ya wakristo. Unatamani sana ajenda yako ya kigaidi ichukue nafasi ila bahati mbaya upo kwenye nchi ambayo watu kama wewe huwa mnazimwa fasta.
 
unaona tatizo lako hilo, niwekee ushahidi chuki yangu kwa Wakristo iko wapi?

JF hakifutwi kitu hapa.

Sema nyinyi mkishindwa mnakimbilia "mdini" "udini" "dini". Hamna opeo wa kujibu hoja.

Mimi Muislam, najivunia Uislam wangu, nakuoenda wewe ukiwa Mkristo kwa sababu ntakulingania mema ya Uislam.

Wewe unaogopa kuwa mkristo?
 
Acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo. Baada ya kila mtu kusema umejaa udini ndo unaanza kujikana? Waislamu wengi tunaishi nao kwa amani kabisa ila wewe mpuuzi usiye na adabu ndo una kiherehere hapa mtandaoni cha kujifanya gaidi chipukizi.
 
Wewe kahaba wa enzi za TANU bora ukalale
Sasa ukahaba mbona hata kwenye biblia umetajwa, haujaanzia TANU. Upo kabla ya yesu.

Tena biblia ukiisoma raha sana, maana kuna kisa mule kuna kahaba anaitwa Tamari (unajuwa Tamari kwa Kiswahili ni nini?

Huyo Tamari alinishinda ukahaba kwa nilivyokisomakisa chake ndani ya Biblia, ana vituko na ana akili sana, na yeye yupo katika vizazi vya Yesu.

Apewe maua yake.
 
Acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo. Baada ya kila mtu kusema umejaa udini ndo unaanza kujikana? Waislamu wengi tunaishi nao kwa amani kabisa ila wewe mpuuzi usiye na adabu ndo una kiherehere hapa mtandaoni cha kujifanya gaidi chipukizi.
Umeshindwa kuonesha hiyo chuki yangu kwa anayejita mkristo iko wapi, unaanza kubwabwaja bila mpango.

Najivunia Uislam wangu, hivi unaota unaposema najikana? Unantazama kwa uoga?

Mimi ni Muislam na nnajivunia Uislam wangu, na hakuna cha kunizuwia kuwa Muislam.

Wewe kama huna dini, kazi ni kwako.

Karibu sana kwenye Uislam, Uislam ni mwema sana.

Ma shaa Allah hata Rais wetu ni mama wa Kiislam, mwema kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…