DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hao wapumbavu wanajiita "beachboy" naona serikali imewaacha Sana, na sitaki kuamini hata kidogo kwamba serikali haijui kuhusiana na ushenzi wanao fanya kule baharini, wanapaswa kushughulikiwa ipasavyo ili wasije wapumbavu wengine wakajaribu hata kufikiria kufanya upuuzi kama huo tena
 
Umemaliza Kila kitu, asisahau pia hatua zake pia ahusishe milardayo Tv Iddy Makengo huko Facebook na platforms zingine zenye access kwa mabinti na wadada
 
Jiheshimu wewe bibi. Kaunde serikali yako uifanyie reform. Waziri Gwajima ni mchapakazi na ni mfano wa kuigwa. Narudia tena JIHESHIMU BIBI. ACHA KUOTA MAPEMBE
Hio mada yako Haina mashiko lete mada za.maana zinazoleta tija kwa jamii na nchi kuna umuhimu gani wa kwenda kuogelea huko baharini serikali kuna Kodi wanazopata huko? Au watu wakienda kuogelea wanalipa leseni halimashauri?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Duh, kazi kweli kweli, ila sishangai watanzania ,samahani lkn km haina mashiko ,ila mie naona ni ushauri wa kufanyia kazi

Niliwahi fika Alexandria ,Misri kule Beach wanaogelea hadi usiku ,kuna taa ,ulinzi wa police marine na tahadhari zote zinazingatiwa, watu kibao wana enjoy
 
Tatizo serikali haiko serious na matatizo ya kijamii, wamekalia kusema tutalitizama fyoko fyoko, mfano mdogo ni panya road
Kuna nchi huko ,beach kama hiyo watu wanaongelea kwa usalama sana, hapo coco beach hata ,marine police sidhani kama iko ? Na usikute huo ukanda wote, coco,msasani,mbezi,kunduchi,ununio hakuna zile boat za usalama baharini
 
Kuna nchi huko ,beach kama hiyo watu wanaongelea kwa usalama sana, hapo coco beach hata ,marine police sidhani kama iko ? Na usikute huo ukanda wote, coco,msasani,mbezi,kunduchi,ununio hakuna zile boat za usalama baharini
Kuna wadau wameandika kulivyo kuchafu ndo ijekuwa boat za usalama sio kwa nchi yetu hii
 



Katafute mada zenye mashiko kwako uendelee nazo hii haikuhusu.
 
Huko ni misri huku ni bongo nyoso na uwezi jua huko serikali yao inafaidika na Nini na mpaka wanaweka ulinzi labda kuna Kodi wanapata kupitia hapo Sasa huku kwetu serikali inapata Nini kupitia hapo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…