DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Jiheshimu wewe bibi. Kaunde serikali yako uifanyie reform. Waziri Gwajima ni mchapakazi na ni mfano wa kuigwa. Narudia tena JIHESHIMU BIBI. ACHA KUOTA MAPEMBE
Yaani huyu FaizaFoxy yy ana lake tu lingine na mimi. Ni fumbo la Imani. Wenzake wote wataona ila yy hapana. Ni kama ile Hadith ya wale 99 mmoja amepotea. Abarikiwe tu. Nishamzoea kama wengine walivyomzoea. Kaziiendelee...

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Naamini Waziri Dkt. Gwajima D atayafanyia Kazi hayo Maelekezo yangu yote 15 niliyomtajia na Tatizo Kumalizika kabisa. Nina Imani nae Kubwa tu.
Nimeshaanza ndugu yangu. Tukumbuke kuwa, kwenda kwenye jamii siyo wizara moja peke yake bali timu ya kisekta na mamlaka kadhaa kwa pamoja; Wizara hii ya Maendeleo ya Jamii, Wizara ya Mambo ya Ndani, Jeshi la Polisi, Wizara ya TAMISEMI, Wizara ya Biashara, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa uchache; nimeona nielimishe wadau Ili wajue kwa nini kuna wakati wengine wanaweza kuona mbona asitamke tu yeye? Kwa mujibu wa nyenzo za kazi na dhamana kuna utaratibu Ili kile kikitamkwa, kiwe sustainable na kimilikiwe na mfumo. Hivyo, mm sasa nawaratibu wenzangu wote twende pamoja. Tuwe na subira na tufuatilie.

Shukrani.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Dada yangu na mtani wangu wewe ni mwepesi wa kujibu ila kuchukua hatua ndio ngumu, sijui kwani nini wale ni wanawake wenzio, mda mwingine sio kwamba wote wanaoenda pale wanapajua historia za Beach. Kama unaweza lifanyia kazi lifanyieni kazi kwa haraka ila kwa umakini mkubwa pia ila sio kila siku na kila kitu mnakipokea alafu mnaenda kukaa nalo kimya.
Hatua gani sijachukua mfano[emoji28] hatua zote ninazochukuaga ww huoni? Basi pita na kurasa zingine usibaki humu tu. Nadhani na ww chukua hatua za kutembelea kurasa zetu na zangu na zingine uone malimwengu ya hatua. Usisubiri baadae uanze kusema inge......

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Nimeshangaa sehemu kama hiyo kutokuwepo kwa CCTV camera.

Je kuna ukaguzi wa kiusalama geti la kuingilia au watu wanatokea upande wowote tu?
 
Ndugu yangu nikutoe gizani.

Waziri Dkt. Gwajima D amejitahidi mnoo kufanya kazi inayoonekana na hana mbwembwe unazozisema.

Usitukimbizie Waziri wetu jukwaani pls
[emoji28]yaani huyu FaizaFoxy, siyo bure, huenda nyuma yake kuna jambo lake fulani fulani... Ila mm humu sitoki yeye afanye ajenda yake na mimi nafanya yangu.... kaziiendelee

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Barikiwa saaaana Dada! Najua tatizo lake ni UDINI. Naunga mkono juhudi zako kwenye nafasi Yako, MUNGU akuzidishie
Ubarikiwe. Nchi yetu nzuri haina haya mambo, kama yy anayo atabaki nayo yy, sisi tunaendelea na kazi. Acha tupige kazi yetu na yeye apige yake tutapima matokeo [emoji28]

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Tuko pamoja Mkuu. Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D akiyafanya tu haya Maelezo yangu 15 bila Kukosea hata Moja tatizo linaisha na kuwa Historia na mtakuja hapa hapa JamiiForums kunishukuru GENTAMYCINE.
Huyu mama Gwajima d mfuatiliaji sana, kuna picha za hovyo zilirushwa insta... akaitwa akafika haraka na kulishughulikia.
Ninaamini hata hapa atakuja
 
Hatua gani sijachukua mfano[emoji28] hatua zote ninazochukuaga ww huoni? Basi pita na kurasa zingine usibaki humu tu. Nadhani na ww chukua hatua za kutembelea kurasa zetu na zangu na zingine uone malimwengu ya hatua. Usisubiri baadae uanze kusema inge......

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Nyingi tu dada angu ngoja nikitulia nakuletea ushahidi hapa hapa jamvini
 
Back
Top Bottom