DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyu mama Gwajima d mfuatiliaji sana, kuna picha za hovyo zilirushwa insta... akaitwa akafika haraka na kulishughulikia.
Ninaamini hata hapa atakuja
Amekuja Kaka na ameshatoa mwongozo! Yuko very active na hasubiri maagizo Kutoka juu, wasiwasi wangu ni kwamba huenda CCM (baadhi) wasipendezwe na namna ya ufanyaji KAZI wake.
 
Amekuja Kaka na ameshatoa mwongozo! Yuko very active na hasubiri maagizo Kutoka juu, wasiwasi wangu ni kwamba huenda CCM (baadhi) wasipendezwe na namna ya ufanyaji KAZI wake.
Haijalishi hata wasipopendezwa na kumtoa lakini kazi yake itasimama na kumtetea daima.

Aliteleza kidogo wakati wa coron hilo tunamsamehe tunajua haikuwa utashi wake😂😂😂😂
 
Huyu mama Gwajima d mfuatiliaji sana, kuna picha za hovyo zilirushwa insta... akaitwa akafika haraka na kulishughulikia.
Ninaamini hata hapa atakuja
Nimefika ndugu yangu. Ingawa ukifika tabu, usipofika tabu kama kwa Hawa ndugu zetu akina FaizaFoxy[emoji28]. Utasikia... Reactive siyo Proactive... Sasa sijui mambo ya dharura tuyaache tu nchi ya watu million 60 na changamoto zetu utakosa vipi dharura mbalimbali.... Na utapata wapi mifumo ya [emoji817] kukinga? Hata huko kwenye sekta kongwe Wana emergency services. Sijui shida ni Sababu mm ndiyo nawahi kuona au tabu wapi? Si ndiyo kidigitali hiki jamani? Au nawaza vibaya...

Normal chanel na zenyewe zipo call center tumetangaza Kila Leo... [emoji28] ahsante Sana .. twende kazi sisi... Wanadamu watasema tu....

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
[emoji847] Ulisema uko bize sana lakini nashukuru umepata muda wa kurejea na maoni yako. Nimeyapokea, nasoma vizuri nione la kufanya kwa kuwa mambo mengi yanauhusiano wa kitimu, yaani "sectoral". Ngoja niratibu, Ili mradi linaenda kwenye jamii, basi wizara yetu ngoja ione jinsi ya kufanyia kazi na utasikia mrejesho. Ubarikiwe Sana.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Salaam Mheshimiwa, kwa nini fukwe zote zinazotumika na wananchi zisiwe na Life Guard Officers? Naamini katika hawahawa Beach Boys wapo wenye tabia nzuri ambao wakiwa trained wanaweza kufanya kazi hiyo Vizuri tu kwa kulipwa pesa kidogo either kwa masaa, siku au Wiki. Kwa namna moja au nyingine serikali pia itakuwa imetoa ajira kwa vijana wengi wanaoranda randa kwenye fukwe zetu nzuri. Nipo tayari kusaidia ushauri na mbinu mbalimbali iwapo nitahitajika kwa kazi hiyo.
Asante.
 
Ni maswala ya jinsia tuu?
Masuala ya maendeleo ya jamii, Jinsia, wanawake na makundi maalumu ya Wajane, Watoto, Wazee na Wamachinga. Ingia website yetu soma hotuba ya Bajeti utapata Kila idara na kazi zake na utekelezaji wake na data.... Ahsante kwa swali jema

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Wakiwa huko Wahimizeni wajifanye hawajui kabisa Kuogelea kisha wavalie Nguo za Kutamanisha na wawe Wanajibebjsha kwa hao Beach Boys.
Sasa wewe kwani beach boy sio binadamu.
Yaani umtamanishe,ujibebishe halafu akuangalie tu.
Atajuaje kama umezidiwa kweli je?

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Back
Top Bottom