DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
[emoji847] Ulisema uko bize sana lakini nashukuru umepata muda wa kurejea na maoni yako. Nimeyapokea, nasoma vizuri nione la kufanya kwa kuwa mambo mengi yanauhusiano wa kitimu, yaani "sectoral". Ngoja niratibu, Ili mradi linaenda kwenye jamii, basi wizara yetu ngoja ione jinsi ya kufanyia kazi na utasikia mrejesho. Ubarikiwe Sana.

Nice, prompt and timely response Dr. Gwajima! Keep it that way!
 
Kwa waziri huyo sahau kama kuna jipya utaliona kwake.

Atatafuta vyombo vya habari ataongea, kwisha, ndiyo kamaliza kazi hapo. Hana ubunifu, anatakiwa yeye mwenyee a Reform kwanza.
Huwezi kutupotezea muda, shida yako tunaijua.
 
Naona FaizaFoxy anataka kutunishana msuli na waziri humu

Ova
Bila hata kumtunishia misuli, nilimpa ushauri wa kiufundi tu, nikafungiwa kwenye ile ost nisimjibu. Aseme yeye tu.

Watanzania kuna kulindana kama kawaida, itakuwa moderator na huyu binti wametokea mkoa mmoja.

Kwanza hana ubavu wa kushindana kwa hoja za kiufundi na mimi. Namuona anapiga porojo za kisiasa tu.

Waziri gani ambae hana plan ya kuendesha wizara yeke? Fikiri hapo tu.

Nilimuuliza akaniletea sera ya waziri mkuu iliyyopitwa na wakati. Kumbana hapo kidogo, akajidai inafanyiwa marekebisho. Sasa kama inafanyiwa marekebishoi aliileta ya nini kutaka kutudanganya? Fikiri hapo tu.

Haya ya coco beach hayaanzii coco beach, ni ukosefu wa maadili kwenye jamii na waziri hana plan kabisa ya kukabiliana nayo.

Tulimsikia mpaka Mwakyembe akija na ma NGO kibao yanayoongoza kwa kusambaza ushoga, mlimsikia huyu waziri akija na plan ya kuyashughilikia hayo? Maaawe.
 
IMG_1655.jpg

Imagine kuna polisi kule wanazurula tu,hakuna elimu wala uhakika wa usalama kwa wananchi.

Hawa vibaka wapo na hushinda hapo beach muda wote.
 
Huyu mama Gwajima d mfuatiliaji sana, kuna picha za hovyo zilirushwa insta... akaitwa akafika haraka na kulishughulikia.
Ninaamini hata hapa atakuja

Sana kama unakumbuka ISHU ya YERICKO NYELELE facebook alipost dogo alimuambia muajiri wake wa kazi za ndani kuwa ameibiwa JINA lake kwenda FORM 5 amefaulu akapewa mwingine hvyo ndo maana akaenda kufanya kazi za ndani
Kwanza waziri Gwajima Dkt. Gwajima D akafika faster kwenye UZI ule akaahidi atalifanyia kazi
Na kweli ndani ya masaa 24 like swala likapata MAJIBU ikaonekana DOGO ni laghai tu

Hvyo kwanza kitendo cha kuwa ACTIVE na jamii mitandaoni kwa NAFASI yake kama waziri ni msaada tosha kwetu
So kwa mm kwa WIZARA aliopo na namna anavyoreact SERIOUS ishu kwa halaka kutoka MITANDAONI inaleta MATUMAINI
ambapo Naami wapo MAWAZIRI wengine watamuiga kwa hili hivyo ni FAIDA kwetu wananchi

Kujibiwa TATIZO lako na mtu MWENYE dhamana ya Sekta huskaNi hatua moja katika kutatua TATIZO mengine yanahitaji muda na kupanga mikakati

Hvyo naimani MUDA utaongea

HONGERA WAZIRI Dkt. Gwajima D
 
Nimefika ndugu yangu. Ingawa ukifika tabu, usipofika tabu kama kwa Hawa ndugu zetu akina FaizaFoxy[emoji28]. Utasikia... Reactive siyo Proactive... Sasa sijui mambo ya dharura tuyaache tu nchi ya watu million 60 na changamoto zetu utakosa vipi dharura mbalimbali.... Na utapata wapi mifumo ya [emoji817] kukinga? Hata huko kwenye sekta kongwe Wana emergency services. Sijui shida ni Sababu mm ndiyo nawahi kuona au tabu wapi? Si ndiyo kidigitali hiki jamani? Au nawaza vibaya...

Normal chanel na zenyewe zipo call center tumetangaza Kila Leo... [emoji28] ahsante Sana .. twende kazi sisi... Wanadamu watasema tu....

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app

Uzee unamsumbua Atulie alee wajukuu..
Anajutia maisha yake ya ujanani...

Sahz ama miaka 67 badala akae na wajukuu kila siku mara Amtukane Nyerere Mara viongozi Wakristo kwake mwiba anatmani Dunia nzima wawe waislamu
Duh tuna safari ndefu sana..
Kama hawa ndo wazee wetu wenye miaka 65s kina faiza sijui tutajifunza nini kwao
 
Bila hata kumtunishia misuli, nilimpa ushauri wa kiufundi tu, nikafungiwa kwenye ile ost nisimjibu. Aseme yeye tu.

Watanzania kuna kulindana kama kawaida, itakuwa moderator na huyu binti wametokea mkoa mmoja.

Kwanza hana ubavu wa kushindana kwa hoja za kiufundi na mimi. Namuona anapiga porojo za kisiasa tu.

Waziri gani ambae hana plan ya kuendesha wizara yeke? Fikiri hapo tu.

Nilimuuliza akaniletea sera ya waziri mkuu iliyyopitwa na wakati. Kumbana hapo kidogo, akajidai inafanyiwa marekebisho. Sasa kama inafanyiwa marekebishoi aliileta ya nini kutaka kutudanganya? Fikiri hapo tu.

Haya ya coco beach hayaanzii coco beach, ni ukosefu wa maadili kwenye jamii na waziri hana plan kabisa ya kukabiliana nayo.

Tulimsikia mpaka Mwakyembe akija na ma NGO kibao yanayoongoza kwa kusambaza ushoga, mlimsikia huyu waziri akija na plan ya kuyashughilikia hayo? Maaawe.
Shida yako wewe ni moja tu!

Udini basi!
 
Basi dada yangu,nenda naye taratibu
Mtafikia kuelewana kwenye hoja
Kwa tunaokujuwa tunajuwa uwezo
Wako uko vizuri

Ova
 
Sana kama unakumbuka ISHU ya YERICKO NYELELE facebook alipost dogo alimuambia muajiri wake wa kazi za ndani kuwa ameibiwa JINA lake kwenda FORM 5 amefaulu akapewa mwingine hvyo ndo maana akaenda kufanya kazi za ndani
Kwanza waziri Gwajima akafika faster kwenye UZI ule akaahidi atalifanyia kazi
Na kweli ndani ya masaa 24 like swala likapata MAJIBU ikaonekana DOGO ni laghai tu

Hvyo kwanza kitendo cha kuwa ACTIVE na jamii mitandaoni kwa NAFASI yake kama waziri ni msaada tosha kwetu
So kwa mm kwa WIZARA aliopo na namna anavyoreact SERIOUS ishu kwa halaka kutoka MITANDAONI inaleta MATUMAINI
ambapo Naami wapo MAWAZIRI wengine watamuiga kwa hili hivyo ni FAIDA kwetu wananchi

Kujibiwa TATIZO lako na mtu MWENYE dhamana ya Sekta huskaNi hatua moja katika kutatua TATIZO mengine yanahitaji muda na kupanga mikakati

Hvyo naimani MUDA utaongea

HONGERA WAZIRI
Kwa kuzima moto ni hodari sana, hata mimi namsifu hapo.

Nilimshauri apewe vituo vyote vya zimamoto vya Tanzania awe ndiyo mkuu wao hukpo. Vingeenda sawa.
 
Back
Top Bottom