Mh waziri ni nafahamu upo humu na unapitia mitandao ya kijamii na unamfahamu msanii wa maigizo anayejiita Madebe .
Msanii huyu amekuwa akipakia vionjo vya porn kwenye profile zake za Facebook kila siku na kila post
Hii ni zaidi ya usanii na kupita kiwango cha kioo cha jamii, kwa muda mrefu amekuwa akichapisha kionjo cha picha za X kama hizi katika profile yake ya Facebook jambo ambalo ni kinyume na sheriq za mitandao na mila na desturi za kitanzania.
Madebe ni msanii hivyo anawavutia watu wengi hasa watoto kufanya vitu kama hivi ni kukiuka maadili yetu ,
Naomba aitwe ashuglikiwe kama wanavyoshuglikiwa waovu wengine kwa kusambaza picha kama hizo .