madebe lidai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania YJ amjia juu CHANUO baada ya kutoboa siri zake za chumbani

    Mtafaruku wa kimahusiano kati ya muigizaji mashuhuri wa Bongo Movie, Chanuo Nchakali, na aliyekuwa mpenzi wake wa hivi karibuni, mwimbaji YJ bado waendelea. Chanzo cha sintofahamu hii kilianza baada ya YJ kuandika barua ya wazi kwenye mtandao wa Instagram kwenda kwa baba watoto wa Chanuo...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Gwajima nakuomba upitie profile za msanii Madebe uone uchafu huu

    Mh waziri ni nafahamu upo humu na unapitia mitandao ya kijamii na unamfahamu msanii wa maigizo anayejiita Madebe . Msanii huyu amekuwa akipakia vionjo vya porn kwenye profile zake za Facebook kila siku na kila post Hii ni zaidi ya usanii na kupita kiwango cha kioo cha jamii, kwa muda mrefu...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Madebe Lidai unapaswa kuwaomba radhi Wakristo

    Madebe Lidai tunakudai utuombe msamaha sisi wakristo kwa kauli yako hii uliyoitoa kwenye instastory yako; "Mtu kaenda Maka akirudi anaacha mke anachukua mke wa mtu aliyeachwa akaanza Kuzini hadharani hapo ndipo utaamini hata maka wakristo wapo 🤣🤣" Kauli hii ni ya kichochezi na inamaanisha...
Back
Top Bottom