YJ amjia juu CHANUO baada ya kutoboa siri zake za chumbani

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Mtafaruku wa kimahusiano kati ya muigizaji mashuhuri wa Bongo Movie, Chanuo Nchakali, na aliyekuwa mpenzi wake wa hivi karibuni, mwimbaji YJ bado waendelea.

Chanzo cha sintofahamu hii kilianza baada ya YJ kuandika barua ya wazi kwenye mtandao wa Instagram kwenda kwa baba watoto wa Chanuo, muigizaji Madebe Lidai, akimtaka aache kumposti au kumzungumzia vibaya Chanuo na badala yake aiheshimu ndoa na maamuzi yake ya sasa .

Hata hivyo, juhudi hizo za YJ hazikuzaa matunda mema kwani ilibainika kuwa wawili hao tayari wameshaachana , jambo lililomfanya Chanuo kumjia juu YJ na kumtaka aache kumfuatilia au kujiingiza kwenye mambo yake kwani tayari ameshamove on na yupo na mwanaume mwingine .

Mzozo huo ulizidi kuwa mkubwa na kushika kasi kwenye mitandao ya kijamii baada ya dada wa YJ kuingilia kati na kutishia kuja Dar es Salaam kumpiga Chanuo .

Katika kujibu mashambulizi hayo, Chanuo alirekodi video iliyosambaa kwa kasi akimchamba dada huyo na kumfichulia siri zake za maisha ya zamani alipokuwa nchini Afrika Kusini .

Video hii pia inatoa muhtasari wa historia ya mahusiano ya Chanuo kabla ya kukutana na YJ—aliye mpa zawadi ya gari aina ya Mercedes-Benz [08:37]akikumbukwa kuwa na mahusiano ya nyuma na Madebe Lidai pamoja na msanii Tundaman.

​
 
Free Tundu
Operation Katiba Mpya
Haki kwanza
Haya mambo mengine ni ujinga mtupu, kuna sehemu fulani pale Sinza ukienda ukiwa na 20,000 unamchagua ni nani unamtaka ukamle, Bongo Movie njaa kali maisha ya maigizo tu.

Kuna msanii wa kike kaolewa lakini kuna mwamba alimpigia simu akaja pale alipo mshikaji na inasemekana aliliwa kwa 200,000 tu. Lakini maisha ya mtandaoni unaweza ukasema mbona maisha kama ya Beyonce haya?
 
Wanaume hua hatuna majibizano na maex wetu hasa mitandaoni,nimesema Wanaume sio Wavulana,

Just stay calm,set clear boundary,it stops you from feeding into high conflict drama,it shows emotional control which frustrates people who want to provoke a fight.
 
Angalieni vya kupost page ya celebs, alafu mbona kama mnajibizana na mwenzako kashaleta hii news
 
Mtafaruku wa kimahusiano kati ya muigizaji mashuhuri wa Bongo Movie, Chanuo Nchakali, na aliyekuwa mpenzi wake wa hivi karibuni, mwimbaji YJ bado waendelea.

Chanzo cha sintofahamu hii kilianza baada ya YJ kuandika barua ya wazi kwenye mtandao wa Instagram kwenda kwa baba watoto wa Chanuo, muigizaji Madebe Lidai, akimtaka aache kumposti au kumzungumzia vibaya Chanuo na badala yake aiheshimu ndoa na maamuzi yake ya sasa .

Hata hivyo, juhudi hizo za YJ hazikuzaa matunda mema kwani ilibainika kuwa wawili hao tayari wameshaachana , jambo lililomfanya Chanuo kumjia juu YJ na kumtaka aache kumfuatilia au kujiingiza kwenye mambo yake kwani tayari ameshamove on na yupo na mwanaume mwingine .

Mzozo huo ulizidi kuwa mkubwa na kushika kasi kwenye mitandao ya kijamii baada ya dada wa YJ kuingilia kati na kutishia kuja Dar es Salaam kumpiga Chanuo .

Katika kujibu mashambulizi hayo, Chanuo alirekodi video iliyosambaa kwa kasi akimchamba dada huyo na kumfichulia siri zake za maisha ya zamani alipokuwa nchini Afrika Kusini .

Video hii pia inatoa muhtasari wa historia ya mahusiano ya Chanuo kabla ya kukutana na YJ—aliye mpa zawadi ya gari aina ya Mercedes-Benz [08:37]akikumbukwa kuwa na mahusiano ya nyuma na Madebe Lidai pamoja na msanii Tundaman.

Kama ni kweli basi CHANUO atulize KIPAPATIO CHA KUKU , KUKU GANI MWEUSI,ANALIAJE ,KWIO KWIO KWIO.
 
Back
Top Bottom