Waziri Dkt. Mpango aagiza watumishi 22 wa TRA kusimamishwa kazi

Site(mitaani) hali mbaya, malalamiko yamekuwa mengi sana.

Lazima kuna tatizo kweli, haiwezekani watu wote Hawa wanazusha hizi tuhuma dhidi ya TRA.
Inabidi walegeze kidogo maana dah
Watu washaanza kukimbia
Humu jf yenyewe kuna wahanga kibao
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hivi waziri Mpango yuko serious na hiki anachokisema? Kama yuko serious basi ni ushahidi kuwa hajui kazi yake. Malalamiko ya watu kubambikiwa kodi ni ya muda mrefu, inakuwaje ajue sasa wakati biashara nyingi zimeshafungwa kwasababu ya hizo tabia za TRA? Na kwasasa inabidi viwango vya kodi vipunguzwe maana hali ni mbaya sana, ili watu wajihimu kurudi kwenye biashara.
 
Tundu Lissu was right. Yeye alikuja na Bill of rights kwa walipa kodi Kama suluhisho la kudumu.

Kama Mpango, Mwambe na Kitila wana akili nao waje na sheria kabisa kuzuia wafanyabiashara kufungiwa account na biashara na kuepusha kabisa kubambikiwa kodi
 
Usipokula sahani moja na afisa atakupiga kofi kubwa sa
 
Mtu anakukadiria kodi hata umueleze biashara ni ngumu akuelewi.Anakuambia kila mwaka kodi inapanda hata kama mtaji umepungua.
 
Tunamshukuru Waziri Mpango kwa kusikia kilio cha muda mrefu cha uozo uliopo ndani ya TRA.
 
Viongozi wengi siyo wabunifu. Wanachimba habari za humu mitandaoni ndiyo wajitie ni hoja zao!!! Mfano hoja ya majadiliano ya TRA na mlipa kodi juu ya madeni iko humu tangia 2017. Cha ajabu leo ndo inaelezwa kama hoja mpya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…