Waziri Dkt. Ndumbaro: Tamasha la Kabila la Wamatengo Kufanyika Kila Mwaka

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

WAZIRI DKT. NDUMBARO: TAMASHA LA KABILA LA WAMATENGO KUFANYIKA KILA MWAKA

Tamasha la Utamaduni wa kabila la Wamatengo Mkoani Ruvuma litafanyika kila mwaka ili kutangaza utamaduni wa kabila hilo na Mkoa wa Ruvuma ndani na nje ya Tanzania.

Hayo yameelezwa Oktoba 30, 2023 na Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati akifungua tamasha hilo katika kijiji cha Makumbusho Mtama Wilayani Mbinga.

"Matamasha haya yanatangaza Utamaduni, Mila na Desturi zetu watanzania, tamasha hili lifanyike kila mwaka ili kukumbushana maisha yetu ya asili, na nitoe rai kwa makabila mengine kuwa na Matamasha kama haya katika maeneo yao" amesema Mhe. Ndumbaro.

Tamasha hilo lilishereheshwa na burudani mbalimbali na kupambwa na maonesho ya tamaduni zenye asili ya kabila hilo.
 
Attachments

  • F9vws7HXoAA2vbd.jpg
    198.8 KB · Views: 5
  • F9vwtnhXkAA_Yez.jpg
    184.8 KB · Views: 6
  • F9vwuQ3XAAATT-e.jpg
    252.6 KB · Views: 7
  • F9vwvDDWEAAAXdx.jpg
    221 KB · Views: 5
Tamasha la Utamaduni wa kabila la Wamatengo Mkoani Ruvuma litafanyika kila mwaka ili kutangaza utamaduni wa kabila hilo na Mkoa wa Ruvuma ndani na nje ya Tanzania.

Hayo yameelezwa Oktoba 30, 2023 na Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati akifungua tamasha hilo katika kijiji cha Makumbusho Mtama Wilayani Mbinga.

"Matamasha haya yanatangaza Utamaduni, Mila na Desturi zetu watanzania, tamasha hili lifanyike kila mwaka ili kukumbushana maisha yetu ya asili, na nitoe rai kwa makabila mengine kuwa na Matamasha kama haya katika maeneo yao" amesema Mhe. Ndumbaro.

Tamasha hilo lilishereheshwa na burudani mbalimbali na kupambwa na maonesho ya tamaduni zenye asili ya kabila hilo.
 
"Matamasha haya yanatangaza Utamaduni, Mila na Desturi zetu watanzania, tamasha hili lifanyike kila mwaka ili kukumbushana maisha yetu ya asili, na nitoe rai kwa makabila mengine kuwa na Matamasha kama haya katika maeneo yao" amesema Mhe. Ndumbaro.
Your browser is not able to display this video.
 
WAchagga wakifanya utaskia "wakabila wale", wabaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…