Waziri Dr. Milton Makongoro Mahanga na PhD FEKI

Waziri Dr. Milton Makongoro Mahanga na PhD FEKI

Nilipokuwa nagoogle kuhusu hao madokta wetu waliorodheshwa hapo nikapata kusoma seminar paper moja ya Dr. George Nangale mbunge wetu wa EALA. Sikuamini kama paper hii imeandikwa na dokta kweli, labda wenzangu mnisaidie kuitathmini kwani huenda mimi nimeingalia too critically. paper hiyo ni hii hapa:

[media]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=3215&stc=1&d=1231170950[/media]
 
Attachments

Just for our information, follow the following link to see the list of degree mills. This will also help us, the Tanzanian when looking for good and credited university. These fake university use some names similar to the one used by the public university. This will help us shy away from ‘degrees' posed with some leaders of ours. Jamani, do u remember Mr. Kihiyo- the former PM candidate for the Temeke constituent (with due respect to whoever using that name). He was caught also with forged certificate and Tanzania doubled that as being Kihiyo, now for these people masquerading as PhD holders, which name should we dub them with? Should we call them nchimbilizers? Nagularizers? Please come with a suggestion and let shame the devil!!

http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_unaccredited_institutions_of_higher_learning
 
Mkuu mbona uni nyingi ni za America na sijaona za kutoka Africa katika list uliyotuma. Au Africa tuko safi kuliko hawa wamerekani??
 
Hii nimeipenda sana ila jamaa ana PhD ya SUA kwa inavyosemekana

Sasa na we unakuja na maswala ya kufikiria si umuulize baba yako tu kama kweli jamaa ana PhD?? if true baba yako ambaye ni profesor tena alikuwa SUA kwa miaka kibao atakupa jibu sahihi alafu uje utualeze hapa
 
Kuna mawaziri, manaibu, wabunge kibao CV zao zina utata sana. Kuna thread ambayo ninaiandaa ambayo itakuwa na majina na wasifu wa kila mtu. Hapo ndipo utaona utata wa CVs za waheshimiwa. Cha kushangaza zaidi ni pale cvs zao zipo serikalini na hazifanyiwi utafiti. Serikali yote bado imelala.
 
Karume from form 6 leaver straight to PhD holder,tehe tehe tehe!
Huyu nae amefanya nini la maana mpaka apewe PhD?

Kupata Uraisi wa nchi mara mbili kwa kuiba kura wewe unafikiria mchezo???? Tena naona wamempunja... anatakiwa apewe Uprofesa....

(1) Salmin Amour - Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na cheti cha form four tu!
Sifa mojawapo iliyoweka na CCM (chama tawala) kwa wale wanachama wake wenye nia ya kugombea uprez, uwe wa bara ama visiwani ni kuwa na digirii ya kwanza. Sasa waosha vinywa mnapokuja na madai eti Dk. Salmin na Dk. Karume wameishia O - level na High school, wajuvi wa mambo wanawashangaa tu!
 
Na wee Kibunango una PhD fake
 
Na wee Kibunango una PhD fake
We... angalia hiyo kauli yako! usije onekana nawe ni mwosha kinywa hapa JF...😀 😀..

Mimi naomba kupatiwa list ya wale ambao walikuwa na tabia ya kurudia std seven na sasa ni viongozi... na hata kama mwisho wa safari yao wameishia kuwa na masters au hizo PhD
 
Nimekushangaa unamtetea kilaza karume form 6 ya taabu......kama una kumbu kummbu Komandoo Salmin ana Phd feki ambayo kuna wakati yeye na Kiwanuka(yuko wapi siku hizi) walipatwa na kashfa ya namna hii ikazimwa juu kwa juu....
Nisaidie nifahamu elimu ya Abdul wakil na Aboud Jumbe
 
Kuhusu Mhe. Dr. Karume rais wa Zanzibar, kama ana degree ama kaishia form 6 hebu soma hapa

Sina data za Jumbe wala Marehemu Wakil...Ila timu yangu ya kukusanya data wanalifanyia kazi suala hili, soon nitakuwa na taarifa zao.
 
Sifa mojawapo iliyoweka na CCM (chama tawala) kwa wale wanachama wake wenye nia ya kugombea uprez, uwe wa bara ama visiwani ni kuwa na digirii ya kwanza. Sasa waosha vinywa mnapokuja na madai eti Dk. Salmin na Dk. Karume wameishia O - level na High school, wajuvi wa mambo wanawashangaa tu!
Hapo juu kisha
Amemaliza vizuri kabisa... Huwa hana mas'hala kwenye elimu kama baadhi ya viongozi hapo tz
Alianza kusoma lini degree yake?
It means alikuwa raisi bila kuwa na degree....
 
Hapana, alikuwa na Advance Diploma ambayo ilichukuliwa kama degree.
Mhh.......... aliipata chuo gani? ya fani gani?
Iweje adv dip yake ichukuliwe kama degree then asome degree nyingine insteady ya masters?
 
Mhh.......... aliipata chuo gani? ya fani gani?
Iweje adv dip yake ichukuliwe kama degree then asome degree nyingine insteady ya masters?
Wana JF KIBUNANGO na Yo Yo,
Ebu tulizeni boli, mbona papara? Karume mnayemwongelea hana Ph.D ya kusomea, ana Ph.D ya heshima kama akina JK, Salim Salim, Kaunda, Mzindakaya, Rev. Rwakatare, Mwalimu n.k. Mtu wa Form Six with a diploma, advanced or not, hawezi kuchupia degree programme ya Ph.D! Hii kapewa, na yeye kasema hivyo! Halafu ndugu yetu Kibunango kwa jazba anataka kubisha kuhusu elimu feki ya mjobake Salmin Amour! Basi atumwagie hata hypothesis ya Ph.D yake. Hakuna kitu, WIZI MTUPU!
 
Elimu ya Lukuvi siijui na ndiyo kwanza nasikia naye ana PhD la kufoji.Kuhusu umahili wa kuongea jukwaani ni kweli kabisa siyo kipimo cha usomi na ndiyo mana watu wa darasa la nne kama kina Makamba wana uwezo mkubwa wa kulimiliki jukwaa,je nao tuwaite wasomi?
...Mkuu umenena!!!...Hivi na huyu mgosi Makamba nae vipi? au ndio wale darasa la 4 moja kwa moja kupiga kwata??
 
Wana JF KIBUNANGO na Yo Yo,
Ebu tulizeni boli, mbona papara? Karume mnayemwongelea hana Ph.D ya kusomea, ana Ph.D ya heshima kama akina JK, Salim Salim, Kaunda, Mzindakaya, Rev. Rwakatare, Mwalimu n.k. Mtu wa Form Six with a diploma, advanced or not, hawezi kuchupia degree programme ya Ph.D! Hii kapewa, na yeye kasema hivyo! Halafu ndugu yetu Kibunango kwa jazba anataka kubisha kuhusu elimu feki ya mjobake Salmin Amour! Basi atumwagie hata hypothesis ya Ph.D yake. Hakuna kitu, WIZI MTUPU!

Salmin Amour, “The Participation of the Masses and the Role of the Leadership in the National Economic. Development, 1964-1984,” Ph.D. Thesis, Karl Marx Party College, Berlin, German Democratic Republic, 1986 .... try to google it!
 
Jamani tatizo si tu ka PhDs za kugushi bali ni systetm nzima ya CERTIFICATION ndiyo bomu. Maana watu wamegushi kuanzia std seven. Mtu hajasoma ama kaishia drasa la pili still anadai darasa la saba. ( kumbukeni enzi za mwalimu wakati wa vikao vya THITHIEM alikuwa anawakejeli kwa kusema waliosahau miwani).
Still waliokuwa darasa la saba wakti huo walijikweza kujiita darasa na nane. Kosa wajue neno moja la kiingereza! hadithi nihiyo hiyo mpaka juu. I remember enzi zetu tukiwa wanafunzi hata ukiwa form 1 utajidai wewe ni form 5 au six simply upate seat katika treni treni. Maana wakati huo wanafunzi ilikuwa tunapewa siku/week Dar to mwanza , Dar to Kigoma, Dar to moshi. Therefore kujikweza ni asili ya mwanadamu hasa pale anapotambua kuwa kuna maslahi. Kudhibiti hali hiyo ndiyo maana kuna vyombo vya kuhakiki na kusimamia kila kitu ikiwa ni pamoja na elimu ya watu CERTIFICATION. Tatizo ni mlungula. Hata walio na feki still wanahalalishwa kwa vile wamekata cha mbele.
Mtakumbuka miaka kadhaa huko nyuma Dodoma Hosp kuna mama alijifanya sergeon wakati hata form four biology hana. Lakini alikwenda na akawa anashiriki kupasua watu.
Mwee. Thats why vyu halali vya Tanzania ni mbinde kwelikweli kupata hiyo degree. Mkwere alitoka na gentleman pale mlimani!
 
Unajua ukijiita PHD Holder wakati sio kwanza wajishushia hadhi.
Bse maisha yako na unayoongea hayatareflect elimu ulio nayo.
Ujiko mwingine haufai jamani quite unprofessional
 
Wana JF KIBUNANGO na Yo Yo,
...Halafu ndugu yetu Kibunango kwa jazba anataka kubisha kuhusu elimu feki ya mjobake Salmin Amour! Basi atumwagie hata hypothesis ya Ph.D yake. Hakuna kitu, WIZI MTUPU!
Kamanda, Dr. Salmin amekwenda darasa wala hakuna ubishi katika hilo... Ila kuna memba humu ndani wamekariri vibaya kuhusu Komandoo.
 
Back
Top Bottom