Hii nimeipenda sana ila jamaa ana PhD ya SUA kwa inavyosemekana
Karume from form 6 leaver straight to PhD holder,tehe tehe tehe!
Huyu nae amefanya nini la maana mpaka apewe PhD?
Karume from form 6 leaver straight to PhD holder,tehe tehe tehe!
Huyu nae amefanya nini la maana mpaka apewe PhD?
Kupata Uraisi wa nchi mara mbili kwa kuiba kura wewe unafikiria mchezo???? Tena naona wamempunja... anatakiwa apewe Uprofesa....
Sifa mojawapo iliyoweka na CCM (chama tawala) kwa wale wanachama wake wenye nia ya kugombea uprez, uwe wa bara ama visiwani ni kuwa na digirii ya kwanza. Sasa waosha vinywa mnapokuja na madai eti Dk. Salmin na Dk. Karume wameishia O - level na High school, wajuvi wa mambo wanawashangaa tu!
(1) Salmin Amour - Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na cheti cha form four tu!
Na wee Kibunango una PhD fakeSifa mojawapo iliyoweka na CCM (chama tawala) kwa wale wanachama wake wenye nia ya kugombea uprez, uwe wa bara ama visiwani ni kuwa na digirii ya kwanza. Sasa waosha vinywa mnapokuja na madai eti Dk. Salmin na Dk. Karume wameishia O - level na High school, wajuvi wa mambo wanawashangaa tu!
We... angalia hiyo kauli yako! usije onekana nawe ni mwosha kinywa hapa JF...😀 😀..Na wee Kibunango una PhD fake
Nimekushangaa unamtetea kilaza karume form 6 ya taabu......kama una kumbu kummbu Komandoo Salmin ana Phd feki ambayo kuna wakati yeye na Kiwanuka(yuko wapi siku hizi) walipatwa na kashfa ya namna hii ikazimwa juu kwa juu....We... angalia hiyo kauli yako! usije onekana nawe ni mwosha kinywa hapa JF...😀 😀..
Mimi naomba kupatiwa list ya wale ambao walikuwa na tabia ya kurudia std seven na sasa ni viongozi... na hata kama mwisho wa safari yao wameishia kuwa na masters au hizo PhD
Kuhusu Mhe. Dr. Karume rais wa Zanzibar, kama ana degree ama kaishia form 6 hebu soma hapaNimekushangaa unamtetea kilaza karume form 6 ya taabu......kama una kumbu kummbu Komandoo Salmin ana Phd feki ambayo kuna wakati yeye na Kiwanuka(yuko wapi siku hizi) walipatwa na kashfa ya namna hii ikazimwa juu kwa juu....
Nisaidie nifahamu elimu ya Abdul wakil na Aboud Jumbe
Hapo juu kishaSifa mojawapo iliyoweka na CCM (chama tawala) kwa wale wanachama wake wenye nia ya kugombea uprez, uwe wa bara ama visiwani ni kuwa na digirii ya kwanza. Sasa waosha vinywa mnapokuja na madai eti Dk. Salmin na Dk. Karume wameishia O - level na High school, wajuvi wa mambo wanawashangaa tu!
Alianza kusoma lini degree yake?Amemaliza vizuri kabisa... Huwa hana mas'hala kwenye elimu kama baadhi ya viongozi hapo tz
Hapana, alikuwa na Advance Diploma ambayo ilichukuliwa kama degree.Hapo juu kisha
It means alikuwa raisi bila kuwa na degree....
Mhh.......... aliipata chuo gani? ya fani gani?Hapana, alikuwa na Advance Diploma ambayo ilichukuliwa kama degree.
Wana JF KIBUNANGO na Yo Yo,Mhh.......... aliipata chuo gani? ya fani gani?
Iweje adv dip yake ichukuliwe kama degree then asome degree nyingine insteady ya masters?
...Mkuu umenena!!!...Hivi na huyu mgosi Makamba nae vipi? au ndio wale darasa la 4 moja kwa moja kupiga kwata??Elimu ya Lukuvi siijui na ndiyo kwanza nasikia naye ana PhD la kufoji.Kuhusu umahili wa kuongea jukwaani ni kweli kabisa siyo kipimo cha usomi na ndiyo mana watu wa darasa la nne kama kina Makamba wana uwezo mkubwa wa kulimiliki jukwaa,je nao tuwaite wasomi?
Wana JF KIBUNANGO na Yo Yo,
Ebu tulizeni boli, mbona papara? Karume mnayemwongelea hana Ph.D ya kusomea, ana Ph.D ya heshima kama akina JK, Salim Salim, Kaunda, Mzindakaya, Rev. Rwakatare, Mwalimu n.k. Mtu wa Form Six with a diploma, advanced or not, hawezi kuchupia degree programme ya Ph.D! Hii kapewa, na yeye kasema hivyo! Halafu ndugu yetu Kibunango kwa jazba anataka kubisha kuhusu elimu feki ya mjobake Salmin Amour! Basi atumwagie hata hypothesis ya Ph.D yake. Hakuna kitu, WIZI MTUPU!
Kamanda, Dr. Salmin amekwenda darasa wala hakuna ubishi katika hilo... Ila kuna memba humu ndani wamekariri vibaya kuhusu Komandoo.Wana JF KIBUNANGO na Yo Yo,
...Halafu ndugu yetu Kibunango kwa jazba anataka kubisha kuhusu elimu feki ya mjobake Salmin Amour! Basi atumwagie hata hypothesis ya Ph.D yake. Hakuna kitu, WIZI MTUPU!