Unajua ukijiita PHD Holder wakati sio kwanza wajishushia hadhi.
Bse maisha yako na unayoongea hayatareflect elimu ulio nayo.
Ujiko mwingine haufai jamani quite unprofessional
Karume mnayemwongelea hana Ph.D ya kusomea, ana Ph.D ya heshima kama akina JK, Salim Salim, Kaunda, Mzindakaya, Rev. Rwakatare, Mwalimu n.k. Mtu wa Form Six with a diploma, advanced or not, hawezi kuchupia degree programme ya Ph.D! Hii kapewa, na yeye kasema hivyo!
Karume from form 6 leaver straight to PhD holder,tehe tehe tehe!
Huyu nae amefanya nini la maana mpaka apewe PhD?
[/url]
Kama sijakosea waheshimiwa wengi sana wana degrees kutoka chuo cha Washington International - I think even Sofia Simba anayo ya huko (sasa Mwanakijiji asije akanishambulia kuwa namtendea vibaya interviewee wake!!!!)
Watakuaward hiyo bachelor ya mifugo bila kuandika thesis?Umeshajibiwa na post #30 uk.3 na mkuu mujuni2 kuwa Mathayo ni bwana mifugo - dokta wa mifugo. PhD kaipata wapi tena? Anajua hata kuandika thesis huyo Mathayo?
Watakuaward hiyo bachelor ya mifugo bila kuandika thesis?
WAZEE PUNGUZENI MWENDO....TARATIBU.
wanataaluma wote wa mambo ya tiba za binadamu na wanyama wanaitwa madaktari (Kuanzia MD, Dental surgery, Medical assitants-kama bado wapo-, clinical officers, veterinarians etc).
Madaktari wengine ni wale wa falsafa.
Labda wanahabari wangelijua hilo fika ili wakati wanatuandikia habari watueleze Dr mkusudiwa ni daktari wa aina gani.
Dr Aisha Kigoda (Medical assistant?)
Dr Shein (Veterinarian)
Dr Hussein Mwinyi (MD)
Dr Salma Kikwete (Dental surgery)
Dr Mwandosya (PhD)
Dr Abeid Karume (Honorary)
Dr Nchimbi (??)
etc..
Usije ukamfananisha na marehemu Dk Omari Ali Juma
Yakhe yameshapita hayo...sasa ana digrii(shahada) na UPhd... na mwaka kesho anastaafu uprez...Sijui kama imepitwa na wakati ama vipi lakini tu tukumbushane juu ya Rais Amani Karume katika mchakato wa kuteuliwa mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. Kama sijakosea alitetewa na M/kiti wa CCM wakati huo, Bw Ben Mkapa kwa kukosa kwake shahada ya kwanza na wakasema uzoefu katika uongozi wake unatosha. Kipindi hicho hakuwa na shahada ya kwanza na ndani ya miaka pungufu ya 10 ana PhD!!! Kama kuna anayekumbuka vizuri atukumbushe.
Swala la mawaziri na wabunge kuwa na vyeti feki ni vipi? Milton Makongoro Mahanga na baadhi ya wabunge wana PhD's na masters feki je ni nini inafnywa kurekebisha tatizo?
Makongoro Mahnga alipta phD yake toka "Washington international" university isiyo na campus yoyote isipokuwa ofisi ya mtu mmoja Maryland ambayo inatumika kama campus na head office. Unaweza kupata hiyo Degree kwa wiki tatu je ni haki hawa kuhachwa kuendelea kuwa mawaziri na wabunge?
Jamani leteni mahoni

Makongoro Mahnga alipta
phD yake toka "Washington international" university isiyo na campus yoyote isipokuwa ofisi ya mtu mmoja Maryland ambayo inatumika kama campus na head office. Unaweza kupata hiyo Degree kwa wiki tatu je ni haki hawa kuhachwa kuendelea kuwa mawaziri na wabunge?
Jamani leteni mahoni