Waziri gani awajibike umeme kukatika Uwanja wa Mkapa kwenye mechi kati ya Tanzania na Uganda?

Kila mtu anajua iwe majumbani au maofisini umeme ni mdogo kipindi hiki.

Sasa kwa yaliyotokea pale Uwanja wa Mkapa ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, nani awajibike?

Waziri wa Mwanga au Waziri wa Taifa Stars?

Ramadan kareem!
Makamba kama siyo udini na kujuana hafai kuwa waziri hata kwa dak 1
 
Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini alikuwa anaenda field wapi na kwingineko huyu mswahili kuzunguka kwa wafanya biashara kupiga pesa
 
Hakuna wa kuwajibishwa hapo na wataona ni mazoea tu , watu wanakosa mikakati ya kazi walizoaminiwa kuzifanya wamebaki kufuata maslai Yao binafsi . Hali ya umeme nchini ishakuwa ya kuzoelekea outages Hadi usiku kisha unarudishwa asubuhi hakuna taarifa Kwa wateja hata Ile kuomba radhi Tu.Yule jamaa alikuwa mkali sana kwenye uongozi wake hivyo kima wote waliufyata mkia na nidhamu ilionekana licha ya mapungufu yake ya kibinadamu kwani ukamilifu ni wa Mwenyezi Mungu pekee. Dhamana ya wananchi ipo kwako Mh Raisi Dr SSH usipuuze mawazo Yao kamwe.
 
Mkuu inatakiwa tufike hatua tuavhe kufanya mambo kwa mazoea. Suala la viongozi kufanya madudu kwenye hii awamu na kutokuwajibika juu ya madudu hayo kisa awamu iliyopita yalifanyika na hakuna aliyewajibika inakuwa sio sawa.

kwa mfano, inafahamika kabisa kipindi Cha JPM kuna mambo yaliyofanyika ambayo hayakuwa mazuri , ila utashangaa kwa mama yanafanyika mengine ya hovyo halafu mtu akija kueleza jukwaani watu wanasema muacheni mama, mbona hata mtu yule alifanya hivi??? Maana yake nini? Tunakomoana?? Kosa ni kosa tu, wasifanye mambo kwa mazoea eti hawatokuwa responsible kwa kuwa kuna watu walikosea before na hawakuwajibika.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119]
 
Kila mara mimi huku kitaa unakatika mpaka leo sijaona wala kusikia Makamba anawajibika..., ndio kwaanza Mama alishangaa kwamba hata USA umeme unakatika kwamba ingekuwa nyumbani Makamba..., Makamba....

Ngoja nikafanye research na wapi umeme unakatika katika mechi kubwa nitarudi.....,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…