Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Roho inakuumaNa Wapinzani wako kwenye masega wanaramba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho inakuumaNa Wapinzani wako kwenye masega wanaramba!
Makamba kama siyo udini na kujuana hafai kuwa waziri hata kwa dak 1Kila mtu anajua iwe majumbani au maofisini umeme ni mdogo kipindi hiki.
Sasa kwa yaliyotokea pale Uwanja wa Mkapa ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, nani awajibike?
Waziri wa Mwanga au Waziri wa Taifa Stars?
Ramadan kareem!
Kwani yuko Dini gani?Makamba kama siyo udini na kujuana hafai kuwa waziri hata kwa dak 1
Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini alikuwa anaenda field wapi na kwingineko huyu mswahili kuzunguka kwa wafanya biashara kupiga pesaSote tunafahamu anayebebwa na mbeleko kubwa. Uwezo kiduchu kelele nyingi. Yeye pamoja na jamaa yake yule maharagwe sijui wababaishaji tu, wapiga dili wa mjini.
Unamwondoa jembe Kalemani kwa fitna na chuki za sijui 'sukuma genge' kisha unamweka yule jamaa? such a shame!
Muulize yeye?Kwani yuko Dini gani?
Kwani hapo Ufipa st mko Dini gani 🤩🤩🤩Muulize yeye?
UWT wengi ni waislamuKwani hapo Ufipa st mko Dini gani 🤩🤩🤩
Au Upendo Kwaya KijitonyamaUWT wengi ni waislamu
Nyie UWT hadi mnakera snAu Upendo Kwaya Kijitonyama
NikuulizeRoho inaumaje?
Tupe uzoefu wa kikarai
Karibu Dodoma!Nyie UWT hadi mnakera sn
Labda uniulize faida za MabangoNikuulize
Mkuu inatakiwa tufike hatua tuavhe kufanya mambo kwa mazoea. Suala la viongozi kufanya madudu kwenye hii awamu na kutokuwajibika juu ya madudu hayo kisa awamu iliyopita yalifanyika na hakuna aliyewajibika inakuwa sio sawa.Nchi hii hakuna wa kuwajibika kwa lolote kama kuna wabunge fake 19 wasio na chama bungeni na katiba ya nchi inasema mbunge akifukuzwa uanachama anapoteza ubunge wake hakuna aliyewajibika hata hili la umeme hakuna wa kuwajibika.
Rais Magufuli alikiukwa katiba kwa kumwondoa cag aliyoapa kuilinda lakini hakuwajibika kwanini hili la umeme mtu awajibike.
Rais Magufuli alizuia mikutano ya vyama kinyume na katiba lakini hakuwajibika kwanini hili la umeme mtu awajibike.
"Hakuna wa kuwajibika"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119]Anzisha mada ya kwako,usiharibu mada za watu,kutwa kuchwa kubweka juu ya magufuli,wewe unafikir pamoja na mapungufu yake magufuli angekubali umeme ukatike katikati ya mechi,na dunia nzima inafuatilia mechi,huoni kama ni aibu kwa taifa.kila mada ikiletwa,ni katiba,mala asad, ma wabunge 19!?,! Umejaza mavi kichwani wewe,
Hayana Faida, siwezi kuulizaLabda uniulize faida za Mabango