Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Gwajima ni mhuni tu Hana maadili kwa nchi ambazo Zina sheria za maadili huyu jamaa hakifaa kuwa mbunge,na pia ni tapeli na mlaghai ashandanganya anafufua watu ,rejea kisa cha Amina chifupa.Inaskitsha sn Kuna watu Bado wanamuamini.Kujiita askofu ni kuchafua hadhi ya uaskofu, kuwa askofu kuna kanuni zake sio kujitangazia kiholela. Kamati iliyokaa na kumpa Gwagima uaskofu waliangalia sifa za uaskofu? Bila shaka hawakuangalia ndio maana anapayuka ovyo. Chungu ulimi wako mbele ya serikali.
kivipi?Mtu na shemejie..😂
Unatumia bunduki kuuwa ndege??Sukumiza ndani Gwajima, mengine yatajulikana mbele ya safari
Akili mbovu ni wapuuzi kuamini uzushi na upuuzi wa Gwajima wa verse mojaInashangaza mtu 1 anaeongea kwa wiki x1 anawashinda watu wote serikal mnaoongea kila siku?? Hv hi Ni akili kwel?? Hoja hukibiwa kwa hoja Kama anapotosha waweke ukwel fulstop, wasipofanya hvyo wao mdo wanapotosha...
Namzungumzia Asikofu Rashidi Josephat Gwajima mbunge wa Kawe.Una mzungumzia gwajima yupi?Yule wafuasi na viongozi wa Chadema walokua wanakesha na kusali kwake huku wakiburudika na mahubiri yake au yupi?
Sukuma ndaniUnatumia bunduki kuuwa ndege??
Dalali wa Lowassa KWA Chadema na gia za angani siyo.Namzungumzia Asikofu Rashidi Josephat Gwajima mbunge wa Kawe.
Mimi sio mfuasi wa chama chochote .Dalali wa Lowassa KWA Chadema na gia za angani siyo.
Basi ndo kilekile chuma chenu,siti zenu bado zipo muwahi church kama mwanzo
Nani asiyejua kuwa Askofu Rashid anakuingilia kinyume cha maumbile na ni yeye aliyekufumua marinda? Lazima umtee mumeo huyo.Wape hai mashoga wenzako, waambie waende kwa Gwajima wakatubu na kupata upako.
Hata kama mama hayupo nchini haina maana kwamba hawezi kufanya kazi za nchi yake.Leo hii Mama hayupo, anatoa amri shemeji yake ( kaka wa mume wake) akamatwe wakati hakuna kiongozi wa mkubwa yeyote wala wa vyombo vya dola aliyewahi kuagiza akamatwe
Huyu Mama akirudi kwa Mumuwe atachapwa sana viboko na Mumewe,unampelekaje Shemeji yako police!? Je ulimshitakia kwa Kaka yake Kwanza!?Butiama.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ( Takukuru) kumkamata na kumhoji mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya Uviko 19.
Dk Gwajima ametoa agizo hilo leo Jumanne Agosti 17, 2021 katika kijiji cha Kyatunge wilayani Butiama akibainisha kuwa Askofu Gwajima amekuwa akitoa taarifa za kupotosha kwa makusudi jambo linaloivuruga wizara yake na Serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.
Credits: Mwananchi
Pia soma
- #COVID19 - Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia
anawapa wananchi rushwa ya maneno hahahaTakukuru wanahusikaje Ni hili la corona
Nchi ngumu Sana hii[emoji4]anawapa wananchi rushwa ya maneno hahaha
Kwa nilivyosikiaMeans Gwajiboy ni Kaka/Mdogo wa Gwaji mme wa Dorothy?
Kihivyohivyo..😂kivipi?