#COVID19 Waziri Gwajima amteua Steve Nyerere kuwa Balozi wa Uviko-19

Hivi ukiteuliwa ubalozi
Unalipwa

Ova
Of course unalipwa kama vile vile ambavyo mtu unavyo chaguliwa kuwa mjumbe wa tume au kamati maalum ya uchunguzi wa jambo fulani hivi.
Na hawa wanaweza kutengeneza pesa ndefu kwa ule mtindo unaolipa kwa posho au (Per Diem) wanapozunguka kwenye kampeni za kuelimisha na kutoa hamasa kwa umma kupiga chanjo. Hapo unaweza kukuta Usafiri, Hotel (yenye hadhi ya Ubalozi🙂, Malazi, Chakula + (posho) per daily per diem. Sasa hapo penye perdiem ndio kwenye ufisadi wenyewe kwani unaweza kukuta Tz Shs 400,000.00 per night) kutegemeana na contract yao wawapo safarini kazini au kwenye vikao vya kazi. All depends with the negotiated terms of their contracts.
 
Mbona waziri pamoja na mabalozi wake hawajavaa barakoa, au huo uwaziri ma ubalozi ni kuhusu chanjo pekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…