johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa.... !🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ashukuru Mungu. Magufuli angekuwa hai mpaka sasa ungekuta ameshakuwa kichaa. Siyo kwa vituko alivyokuwa anafanya. Aliigiza kama kichaa kabisa. Mimi sikuamini ni mama mwenye akili sawa.
Hahaha hivi unamuona ni mzima?[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Ashukuru Mungu. Magufuli angekuwa hai mpaka sasa ungekuta ameshakuwa kichaa. Siyo kwa vituko alivyokuwa anafanya. Aliigiza kama kichaa kabisa. Mimi sikuamini ni mama mwenye akili sawa.
Kwamba wizara ya afya ina mambo mengi kiasi cha kutopata muda wa kutoa elimu kuhusu ugonjwa wa Corona, afya maana yake ni nini?Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema wagonjwa wa Corona wanaongezeka hivyo wananchi wachukue tahadhari.
Kwa sasa elimu ya kupambana na Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sababu kirusi kinabadilika badilika na sisi tunabadili style ya kukikabili kwani Wizara ina mambo mengi sana ya kufanya.
Chanzo: ITV habari!
Na naibu wake wana match sana kwa vituko🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ashukuru Mungu. Magufuli angekuwa hai mpaka sasa ungekuta ameshakuwa kichaa. Siyo kwa vituko alivyokuwa anafanya. Aliigiza kama kichaa kabisa. Mimi sikuamini ni mama mwenye akili sawa.
RCs wanatosha bwashee!Kwa nini wasitoe elimu kama wizara
Sawa bwasheeRCs wanatosha bwashee!
Kati ya RCs na wizara ni Nani ana majukumu mengi? Jibu ni RCs anabeba majukumu yote ya kiwizara na kimuundo Kwa ngazi ya Mkoa, tafsiri nyepesi kila wizara RCs wanashughulika nayo Kwa ngazi hiyoRCs wanatosha bwashee!
Ni kama MPOKI na JOTI!Na naibu wake wana match sana kwa vituko
Ngoja tuone!Kati ya RCs na wizara ni Nani ana majukumu mengi? Jibu ni RCs anabeba majukumu yote ya kiwizara na kimuundo Kwa ngazi ya Mkoa, tafsiri nyepesi kila wizara RCs wanashughulika nayo Kwa ngazi hiyo
Mwendawazimu alishamuambikiza tayari.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ashukuru Mungu. Magufuli angekuwa hai mpaka sasa ungekuta ameshakuwa kichaa. Siyo kwa vituko alivyokuwa anafanya. Aliigiza kama kichaa kabisa. Mimi sikuamini ni mama mwenye akili sawa.
Hahahaaaa.........muulize papaa Amos!Aisee kwa hiyo lile kabati la mvuke pale Muhimbili limeondolewa??
Everyday is Saturday............................... 😎