MPUNGA MMOJA JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 304 Reaction score 401 Apr 28, 2021 #1 Waziri wa Afya Dkt Gwajima amepiga marufuku kina Mama Wajawazito, hakuna utaratibu huo. Awali kadi zilikua zikiuzwa sh 5000/= mpka 20,000/= na baadhi ya vituo vya kliniki ilifika sh 50,000/=.
Waziri wa Afya Dkt Gwajima amepiga marufuku kina Mama Wajawazito, hakuna utaratibu huo. Awali kadi zilikua zikiuzwa sh 5000/= mpka 20,000/= na baadhi ya vituo vya kliniki ilifika sh 50,000/=.
muhamar Gadaf JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 1,101 Reaction score 1,050 Apr 28, 2021 #2 mmmmh
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Apr 28, 2021 #3 Watakuwa wanazinunua wenyewe kwenye madili yao ya kubambikiza watoto, acha biashara iendelee...
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,677 Reaction score 45,532 Apr 28, 2021 #4 Kandi za clinic za serikali zimeandikwa "kadi hii haiuzwi" hao wanao uza ni akina nani? Binafsi ama hukohuko serikalini..!?
Kandi za clinic za serikali zimeandikwa "kadi hii haiuzwi" hao wanao uza ni akina nani? Binafsi ama hukohuko serikalini..!?