DOKEZO Waziri Gwajima, mwanamke huyu anafanyiwa ukatili na unyanyasaji kutoka kwa baba mwenye nyumba wake

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kupitia andiko hili na komenti za wana jukwaa nimejifunza vitu viwili.

Moja watu wengi wanapitia ukatili na unyanyasaji wa aina tofauti katika maisha yao na saa nyingine wanakosa hata haki zao za msingi kabisa lakini mfumo umewafanya kuona hali hiyo ni sawa tu.

Pili kupitia reply imedhihirika kwamba watu wengi katika mazingira tofauti tofauti wamewahi kufanya ukatili na unyanyasaji kwa wengine either direct au indirect.

Ushauri wangu mtoa posti usivunjike moyo na asiache kukemea matendo haya ya ukatili na unyanyasaji kisa comment za watu wa humu😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…