Hamna kitu hapo .
Corona imegeuka kuwa biashara
Bora hii wizara ya Afya ifutwe naona haina umuhimu wowote kwa Mtanzania. Tutajitibu wenyewe kwa njia za asili.
Tuna safari ndefu sana kama Taifa.Bora ungewaambia tutajitibu wenyewe bila dawa
Mzee leo nimepokea taarifa za msiba, kuna jamaa wa karibu amekutwa na changamoto za mfumo wa upumuaji kwa siku nne, akashindwa kumaliza hii wiki, wamethibitisha ni UVIKO-19, nimeenda kutoa pole na kuondoka, msiba wenyewe ni familia tu ndio wapo wamejitahidi kuzuia watu kukaa msibani, unafika kutoa pole na kugeuza!
Tuna safari ndefu sana kama Taifa.
Mzee leo nimepokea taarifa za msiba, kuna jamaa wa karibu amekutwa na changamoto za mfumo wa upumuaji kwa siku nne, akashindwa kumaliza hii wiki, wamethibitisha ni UVIKO-19, nimeenda kutoa pole na kuondoka, msiba wenyewe ni familia tu ndio wapo wamejitahidi kuzuia watu kukaa msibani, unafika kutoa pole na kugeuza !
Sijui na huyo atahesabiwa na Dorothy au la.
Awamu hii inafanya zaidi maigizo ilikuwa na "optics" nzuri, kwamba tunatoa chanjo, tuna miongozo ya kujilinda na covid lakini hakuna dhamira ya kweli ya kupambana na huu ugonjwa. Mabasi yanajaa kama kawaida, matamasha yanaendelea ni kama tu awamu ya tano.Pole sana mkuu.
"Watu wanakufa sana na asiyeliona hilo atakuwa tu hajaguswa." Hayo si maneno yangu bali yake SSH.
#COVID19 - Chanjo isiwe Siasa, Vigezo na Masharti vizingatiwe
Kumeingizwa siasa katika ugonjwa huu ya kiwango cha SGR.
Wala haipo tofauti sasa na hata ilivyokuwa awamu ya 5 kwenye zama za nyungu.
Awamu hii inafanya zaidi maigizo ilikuwa na "optics" nzuri, kwamba tunatoa chanjo, tuna miongozo ya kujilinda na covid lakini hakuna dhamira ya kweli ya kupambana na huu ugonjwa. Mabasi yanajaa kama kawaida, matamasha yanaendelea ni kama tu awamu ya tano.
Dortothy, na Mwenzake Mollel hawana moral authority ya kuongoza haya mapambano. Hakuna haja ya lockdown wala kutishana, ni suala la kuelezana ukweli wa hali halisi ili kila mtu ajilinde. Wengi wanaanza kujilinda na kuchukua tahadhari baada ya makubwa kuwakuta.
Acha wafe shida ipo wapi.kwani takwimu itazuia watu kufaAmesikika waziri Gwajima akisema wanaandaa takwimu za hali ya ugonjwa wa Corona nchini.
Watu wanapoendelea kufa huku takwimu zikiendelea kuandaliwa bila mwisho, ina maana gani?
Inachukua muda gani kujua idadi ya wagonjwa waliolazwa mkoa kwa mkoa, vifo au waliopona?
Hapa tuna mwenzetu mwingine kwenye yale majina makubwa, katutangulia:
Padre Haule wa St Peters afariki dunia
Yaonesha mwendo ni ule ule mmoja mmoja kivyake vyake hadi yatakapotukuta huku tukilipa kodi na tozo zilizo boreshwa.
Mko kama vile mnachohitaji kwetu ni pesa tu pasipo na kuwajibika.
acha wafe shida ipo wapi.kwani takwimu itazuia watu kufa
Nchi ilitulia hii na corona,mkaichokonoa mpaka imerudi ,acha mfe tuAcha wafe -- kauli fikirishi kutoka kwa binadamu mwenye akili timamu.
Ni ujinga uliopitiliza kuwasemea hivyo watu wasio kuhusu.
Inahitaji busara ya kawaida mno kuonyesha kuwa takwimu zikitolewa zitasaidia kupunguza vifo.
nchi ilitulia hii na corona,mkaichokonoa mpaka imerudi ,acha mfe tu
Chaguo ni lakoKuna hata haja ya kupoteza muda na wewe mkuu?