- Thread starter
- #21
chaguo ni lako
Vipi bado takwimu hazijawiva?
Pia vipi ile chanjo kutoka kwa wazawa, wameshaanza kujaribishia japo kwenye kuku?
Ngonjera juu ya ngonjera wakati watu wanakufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chaguo ni lako
wewe jua tu.kuwa watu wengi wanakugfa na coronaVipi bado takwimu hazijawiva?
Pia vipi ile chanjo kutoka kwa wazawa, wameshaanza kujaribishia japo kwenye kuku?
Ngonjera juu ya ngonjera wakati watu wanakufa.