#COVID19 Waziri Gwajima, takwimu za Covid-19 mnaandaa au mnapika?

chaguo ni lako

Vipi bado takwimu hazijawiva?

Pia vipi ile chanjo kutoka kwa wazawa, wameshaanza kujaribishia japo kwenye kuku?

Ngonjera juu ya ngonjera wakati watu wanakufa.
 
Vipi bado takwimu hazijawiva?

Pia vipi ile chanjo kutoka kwa wazawa, wameshaanza kujaribishia japo kwenye kuku?

Ngonjera juu ya ngonjera wakati watu wanakufa.
wewe jua tu.kuwa watu wengi wanakugfa na corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…