#COVID19 Waziri Gwajima, tumia busara na elimu yako kuinadi chanjo ya UVIKO -19, usitumie mabavu kama ulivyoinadi nyungu na Bupeji

Mabavu aliyotumia waziri ni yapi? kusema Gwajima askofu athibitishe tuhuma dhidi ya Rais kula hongo?

Nimemsikia waziri akizungumza mambo kisayansi mara nyingi tu, ndio maana anamtaka Gwajima asie mwanasayansi athibitishe madai yake.

Habari ya nyungu kwa sasa ilishapita, kama mamlaka ya uteuzi iliamua kuwaacha mawaziri wa mwendazake sioni sababu kumpigia kelele huyo mama.

Hata Gwajima msanii nae alituambia Corona haitaingia Tanzania, but leo anaruka ruka hataki kuchanjwa, hayo maombi yake kama hayakuizuia Corona kuingia Tanzania, kwanini leo aaminiwe yatawakinga watu wasipate Corona?
Tulia we dogo
 
Unamwonea Bure! yeye hakuitemgeneza chanjo waulize WHO au Wamarekani walioileta.
Halafu tusimlaumu kwa kufuata maelekezo ya bosi wake wa juzi na wa sasa. Hata wewe ungefanya hivyo. Kwasababu waziri kwanza ni mwanasiasa leo yuko afya kesho utamkuta kilimo au madini.
Mwisho mbona hamuhoji jinsi chanjo zingine kama za polio, surua, ndui ambazo zimekuwepo miaka yote? Hata hivyo bora ujisomee mwenyewe kama una elimu ya kutosha la sivyo hutaelewa mambo ya kitaalamu na siyo wewe tu. Wapo wengi ambao hawana elimu ya kuelewa sio tu chanjo ni nini, hata antibiotics nk.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
IMG-20210820-WA0042.jpg
 
Maelezo ya chanjo amtolee nani kama mpaka sasa kuna mijitu inasubiri waziri Gwajima awape maelezo ya kuhusu hizi chanjo basi hiyo mijitu hata sio ya kuelewa, iende tu ikachanjwe kama watoto zao walivyochanjwa chanjo za watoto au kama hawataki wasichanjwe. Kuna mijitu kibao imechanjwa hali ya kuwa hata haielewi chochote kuhusu hizo chanjo na hao ndio watanzania halisi sasa hayo ya kuhoji na kutaka kupewa maelezo wakati mijitu yenyewe haina hata uelewa ni nani wa kumsumbua hivyo.
 
Yeye ni waziri mwenye dhamana,pia ni mtalaamu.
 
Sasa kama ni mtalaamu mbona alipokuwa anahimiza watu kula matunda ili kujenga kinga za mwili mlisema kuwa anatumia njia za kiganga wa kienyeji na kupingana na sayansi?
Ndio maana ametuacha mdomo wazi.
 
Ndio maana ametuacha mdomo wazi.
Amekuacha mdomo wazi kvp? mwanzo alikuwa anashauri kujenga kinga za mwili kwa kutumia matunda ila nyie hamkuona hilo ni jambo la kisayansi na mkaona matunda ni uganga wa kienyeji ndio maana sasa mnashangaa.
 
Unajenga kinga baada ya mapafu kushambuliwa?
 
Mabavu aliyotumia waziri ni yapi? kusema Gwajima askofu athibitishe tuhuma dhidi ya Rais kula hongo?

Nimemsikia waziri akizungumza mambo kisayansi mara nyingi tu, ndio maana anamtaka Gwajima asie mwanasayansi athibitishe madai yake.

Habari ya nyungu kwa sasa ilishapita, kama mamlaka ya uteuzi iliamua kuwaacha mawaziri wa mwendazake sioni sababu kumpigia kelele huyo mama.

Hata Gwajima msanii nae alituambia Corona haitaingia Tanzania, but leo anaruka ruka hataki kuchanjwa, hayo maombi yake kama hayakuizuia Corona kuingia Tanzania, kwanini leo aaminiwe yatawakinga watu wasipate Corona?
mkuu siku hizi unayumba?

Wewe usiyempenda hawezi kusema jambo la manufaa kwako hata siku moja? Mwache Askofu Gwajima anahoji vitu vya maana kweli
 
Ubabe Kama huo ndio unahitajika,ndio legacy aliyoacha Magu hio.
 
Unamwonea Bure! yeye hakuitemgeneza chanjo waulize WHO au Wamarekani walioileta.
Halafu tusimlaumu kwa kufuata maelekezo ya bosi wake wa juzi na wa sasa. Hata wewe ungefanya hivyo. Kwasababu waziri kwanza ni mwanasiasa leo yuko afya kesho utamkuta kilimo au madini.
Mwisho mbona hamuhoji jinsi chanjo zingine kama za polio, surua, ndui ambazo zimekuwepo miaka yote? Hata hivyo bora ujisomee mwenyewe kama una elimu ya kutosha la sivyo hutaelewa mambo ya kitaalamu na siyo wewe tu. Wapo wengi ambao hawana elimu ya kuelewa sio tu chanjo ni nini, hata antibiotics nk.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
Hivi inakuwaje mtu kuitwa mwanasiasa? Waziri Gwajima alikuwa katibu mkuu then akateuliwa kuwa mbunge na waziri je hiyo inatosha kumwita mwanasiasa?
 
Huyu mwanamke hafai ni bogus kabisa tena ni mnafiki sana. Hawa ni watu wanasaka tonge tu.

Hawa ndio walikataa chanjo tena eti leo anafagilia tena hiyo chanjo. She is very useless and a poor excuse for a minister.
 
Wewe waziri wa afya kama daktari msomi mpaka leo dunia nzima ilikushangaa sana pale ulipokaa mbele ya kamera za wanahabari ukajifukiza na kisha kunywa mchanganyiko wa malimao,tangawizi na pilipili na kuwaaminisha watanzania kuwa hiyo ni kinga na tiba ya Uviko-19View attachment 1899034
Kwa kweli huyu mama haitendei haki fani yake. Yeye Kama mtaalam anatakiwa atupe majibu ya kitaalam badala ya mipasho isiyo ya heshima.

Sasa Jana kasema eti mume wake katest mitambo kwake na kukuta fiti.

Nimeshindwa kuelewa maswali mawili hapa.
1. Hilo ndo jibu la kisayansi kuwapa watu proooof ya ubora wa corana?

2. Mume wake katest mitambo, Ina maana huyu mama ana mitambo zaidi mmoja? Mingapi?
 
Back
Top Bottom