Hata hao Saba wasiochanga nao wanakufa kwa magonjwa nyemelezi pia.Magonjwa nyemelezi!
Cheki mtandao wa WHO utapata majibu. Wao ndiyo wanakusanya takwimu za Corona duniani. Utajua ya kwanza bado ipo au haipo na corona ipi inaambukizwa sehemu tofauti duniani. Vile vile WHO ndiyo wanaorodhesha chanjo zinazokubalika. Ukisoma mtandao wao utaona wanasema chanjo zinasaidia aina zote za Corona mgonjwa asiugue sana au kufa, hata hii Omicron wanashauri uchanje. Omicron ingawa wengi wanaugua mafua na homa za hapa na pale kama ulivyosema, imeweza pia kuua watu. Kwa hiyo siyo ugonjwa wa kupuuzia na chanjo ni muhimu.Bepari Nakukubali sana Mkuu
Mkuu samahani naomba unielimishe na wengine wajue kaka[emoji116]
Naomba Kuuliza maswali ya Mtu nisielewa Kuhusu Afya na Kirusi,
Naomba Msinicheke...
Nahitaji Elimu wandugu.
Naomba Kuuliza kwa wataalam:
Hivi Kama Mtu hajachanjwa Mpaka sasa,
1. Je akiugua Corona sasa hivi atakuwa ameugua corona ipi? Ile ya Kwanza, Ya Pili ya Tatu au hii Omicroni?
2. Je ina Maana Zile Corona na Mwanzo Hazipo? Kama Zipo Zina Nguvu ya Kuwashambulia watu wasiochanjwa?
Kama Hazina Nguvu sasa Wasiochanjwa wamepata Kinga ya Mwili?
3.Hii Omicron na Yenyewe Kuna watu wamepata Mafua na Homa za Hapa na Pale na Wanaendelea Ku recover na Hawajachanjwa sasa Baadae Wakihitajika Kuchanjwa? Wanachanjwa kwa ajili ya wimbi lipi?
Kuanzia La Kwanza? Au hili la Sasa hivi?
Naomba Majibu wataalam!
Mama Ni wazr wa burudi/kongo anaefanya kazi tz analala Kenya anakula Dubai,. Anahutubia wanahabar wa nchi nyingne, hv ushahid wat 7 wanakufa Kati ya kumi kautoa wapi?? Au Ni mm tu ndo simweelewi hyu.. au Ni mashart ya Dona,?? Kwa msaada wa watu .....Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa.
Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi.
Source: ITV habari
Gwajike ageuka na kuwa wakala wa KUZIMU maalumu kwa ajili ya kupandikiza hofu ili watu wachanje! Lakini kwa Tanzania tunamshukuru Mungu pepo la hofu analolitumikia lilishashindwa kitambo kwa jina la YESU!!Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa.
Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi.
Source: ITV habari
Mbona waliochanjw hawakuokolewa?Je katika kumi wanaopona ambao wamechanjwa hao hamwataki?
Nyie watu vipi?
70% ya watu wanaokufa hawakuchanjwa haiwafikirishi bali mmetanguliza ujuaji tu?
Wanaokufa kwa takwimu hizi wangeweza kuokolewa maisha yao kwa chanjo tu.
Mbona waliochanjw hawakuokolewa?
Wewe ndio mvivu unameza tu. Asilimia ngapi ya watanzania wamechwanjwa ili hiyo comparizon iwe sahihi?Kwenye mada imeelezwa kwanini waliochanjwa hawakuokolewa.
Mbona wavivu hivyo?
Nasema uongo bwana mleta mada ?
Je, hao ambao hawajachanjwa, utafiti unaonesha kati yao ni wangapi huwa wana magonjwa mengine nyemelezi?Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa.
Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi.
Source: ITV habari
Je, hao waliochanjwa lakini wakafa, utafiti unasema chanzo cha vifo vyao ni Corona au ni magonjwa nyemelezi? Kana ni magonjwa nyemelezi kwanini utafiti uwajumuishe kwenye magonjwa waliokuwa kwa Corona badala ya kuyataja magonjwa husika na hivyo kusingiziwa Corona? Waambieni watafiti wawe makini na lugha isiwe na maswali tendanishi na tatanishi.Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa.
Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi.
Source: ITV habari
Tuanze na hiyo 70% ya wanaokufa kwa Corona hawakuchanjwa. Je, kati yao ni wangapi waliokuwa na magonjwa nyemelezi sawa na wale 30% ya waliokufa hali wamechanjwa? Yamkini nao wamekufa kwasababu ya magonjwa nyemelezi kama wale 3 ila kwavile hawakuchanjwa basi laana anapewa corona ili watu wachanjwe. Hata kifo cha mtu mmoja, tena mkimbizi wa Somalia kinaumiza sana na tusingependa kitokee ila sababu za kifo nikiwa sahihi tunaweza kupunguza vigo vingi tu kwa pamoja.Je katika kumi wanaopona ambao wamechanjwa hao hamwataki?
Nyie watu vipi?
70% ya watu wanaokufa hawakuchanjwa haiwafikirishi bali mmetanguliza ujuaji tu?
Wanaokufa kwa takwimu hizi wangeweza kuokolewa maisha yao kwa chanjo tu.
Tuanze na hiyo 70% ya wanaokufa kwa Corona hawakuchanjwa. Je, kati yao ni wangapi waliokuwa na magonjwa nyemelezi sawa na wale 30% ya waliokufa hali wamechanjwa? Yamkini nao wamekufa kwasababu ya magonjwa nyemelezi kama wale 3 ila kwavile hawakuchanjwa basi laana anapewa corona ili watu wachanjwe. Hata kifo cha mtu mmoja, tena mkimbizi wa Somalia kinaumiza sana na tusingependa kitokee ila sababu za kifo nikiwa sahihi tunaweza kupunguza vigo vingi tu kwa pamoja.
Hakuna justification without statistical proof. Hii sio kama "doctorate" za waheshimiwa ambazo upatikanaji wake auaye vema ni Mungu. Kama mtu anatoa mbele, kwa hiari yake na akiwa na akili timamu; anatuambia kati ya watu 10 wanaokufa kwa "corona", 7 hawajachanjwa na 3 wamechanjwa.Tena anaongeza hao 3 waliochanjwa wamekufa kwa "magonjwa nyemelezi". Sasa wewe usiyetaka 'justification' chanzo cha vigo vya hao 3 mi nini hasa; corona au magonjwa nyemelezi? Na je, wale 7 hawakupata magonjwa nyemelezi na kama alipata, hayakuwasabishia kifo kwavile hawakuchanjwa? Mkileta point si tutasaidiana kuwaelimisha wengine tu.Unatafuta "means za ku justify end?"
Ukitafuta hizo wewe komaa tu hata useme shujaa hakufa ila alichukuliwa msukule.
Hiiiiii bagosha!
We jamaa ujinga uliojaza kwenye ubongo wako niwa kurithi hakuna namna unaweza saidika labda upigwe Bomba la kuondoa ubongo mchafu ulioganda kichwani mwakoJe katika kumi wanaopona ambao wamechanjwa hao hamwataki?
Nyie watu vipi?
70% ya watu wanaokufa hawakuchanjwa haiwafikirishi bali mmetanguliza ujuaji tu?
Wanaokufa kwa takwimu hizi wangeweza kuokolewa maisha yao kwa chanjo tu.
Yaani we mpuuzi Nyerere ndio angekusekwa jela kabisa haiwezeki uweke akili zako matakoni usaidiwe kufikiri kisa umepewa hela za kujengea vyoo.Dawa za Ukimwi mnabugia kila siku hamuogopi lakini chanjo za corona ndiyo mnaziogopa? Chanjeni ili msije mkatengeneza variant mpya na sisi tukapigwa travel ban kama wenzetu wa Afrika Kusini. Nyerere angekuwa hai angewatukana sana nyie mnaopinga chanjo.
Hii hutajibiwa utaambiwa we kapate chanjo tuBepari Nakukubali sana Mkuu
Mkuu samahani naomba unielimishe na wengine wajue kaka[emoji116]
Naomba Kuuliza maswali ya Mtu nisielewa Kuhusu Afya na Kirusi,
Naomba Msinicheke...
Nahitaji Elimu wandugu.
Naomba Kuuliza kwa wataalam:
Hivi Kama Mtu hajachanjwa Mpaka sasa,
1. Je akiugua Corona sasa hivi atakuwa ameugua corona ipi? Ile ya Kwanza, Ya Pili ya Tatu au hii Omicroni?
2. Je ina Maana Zile Corona na Mwanzo Hazipo? Kama Zipo Zina Nguvu ya Kuwashambulia watu wasiochanjwa?
Kama Hazina Nguvu sasa Wasiochanjwa wamepata Kinga ya Mwili?
3.Hii Omicron na Yenyewe Kuna watu wamepata Mafua na Homa za Hapa na Pale na Wanaendelea Ku recover na Hawajachanjwa sasa Baadae Wakihitajika Kuchanjwa? Wanachanjwa kwa ajili ya wimbi lipi?
Kuanzia La Kwanza? Au hili la Sasa hivi?
Naomba Majibu wataalam!
Hakuna justification without statistical proof. Hii sio kama "doctorate" za waheshimiwa ambazo upatikanaji wake auaye vema ni Mungu. Kama mtu anatoa mbele, kwa hiari yake na akiwa na akili timamu; anatuambia kati ya watu 10 wanaokufa kwa "corona", 7 hawajachanjwa na 3 wamechanjwa.Tena anaongeza hao 3 waliochanjwa wamekufa kwa "magonjwa nyemelezi". Sasa wewe usiyetaka 'justification' chanzo cha vigo vya hao 3 mi nini hasa; corona au magonjwa nyemelezi? Na je, wale 7 hawakupata magonjwa nyemelezi na kama alipata, hayakuwasabishia kifo kwavile hawakuchanjwa? Mkileta point si tutasaidiana kuwaelimisha wengine tu.
Kwa nini dawa za Ukimwi unatumia lakini kutumia chanjo za Corona unaona upungufu wa akili?Yaani we mpuuzi Nyerere ndio angekusekwa jela kabisa haiwezeki uweke akili zako matakoni usaidiwe kufikiri kisa umepewa hela za kujengea vyoo.
Kutumia hizi chanjo za korona na uthibitisho wa juu zaidi wa upungufu mkubwa wa akili.
brazaj yeye hatujajua amejengewa darasa au choo maana ujinga wake umevuka viwango vya iso
Sasa hapo chanjo ya kazi gani maana waliopata korona ni wengi wameponea majumbani awajachanja wala kwenda hospitalini,maana yake wanaochanja wanakufa kuliko wasiochanjaWapi kasema 30% wamechanjwa?
Waziri kasema katika wanaokufa kwa korona 30% ndiyo walikuwa wamechanjwa.
Kipi hutaki kuelewa hapo?