chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Zanzibar Kuna Waziri anaitwa Hamza, hakuna anayemjua hasa bara, ametumwa ajenda ya kutikisa Muungano. Anatoa maneno ya chokochoko ili kutibua maji ya kisima.
Namshauri aliyemtuma ajitokeze, kwa kuwa anafahamika vizuri. Waziri Hamza ni kifaranga tu, na mama yake (mama kuku) ndiye aliyempa hadhi ya kuongea kwa cheo hicho. Bila cheo hicho asingeongea.
---
Pia soma
- Waziri Hamza: Mapato ya Muungano ukitoa matumizi kinachobaki ndio Tugawane Zanzibar na Bara na siyo hii 4.5% tunayopata sasa!