Au ametumwa na zitto kabweZanzibar Kuna Waziri anaitwa Hamza, hakuna anayemjua hasa bara, ametumwa ajenda ya kutikisa Muungano. Anatoa maneno ya chokochoko ili kutibua maji ya kisima...
Video clip tafadhaliZanzibar Kuna Waziri anaitwa Hamza, hakuna anayemjua hasa bara, ametumwa ajenda ya kutikisa Muungano. Anatoa maneno ya chokochoko ili kutibua maji ya kisima...
Safi sana Hamza shikilia hapohapo hadi tuone nyeti za kuku!Zanzibar Kuna Waziri anaitwa Hamza, hakuna anayemjua hasa bara, ametumwa ajenda ya kutikisa Muungano. Anatoa maneno ya chokochoko ili kutibua maji ya kisima.....
Namshauri aliyemtuma ajitokeze, kwa kuwa anafahamika vizuri. Waziri Hamza ni kifaranga tu, na mama yake (mama kuku) ndiye aliyempa hadhi ya kuongea kwa cheo hicho. Bila cheo hicho asingeongea
Wastaarabu hatuchukii majadiliano....Zanzibar Kuna Waziri anaitwa Hamza, hakuna anayemjua hasa bara, ametumwa ajenda ya kutikisa Muungano. Anatoa maneno ya chokochoko ili kutibua maji ya kisima...
Anajichanganya tu.Anataka Muungano wa usawa kati ya watu milioni 50 dhidi ya watu milioni 1!! Si wajitenge tu. Maana hata faida yao kwa Tanganyika siioni.
Nchi aiangaliwi au kuheshimiwa kuringana na idadi ya watu mkuu. Je,mkataba wa kisiasa wa Muungano umelisema ilo kua tuangalie idadi ya watu ndiyo tugawe ayo mapato? Huwezi kua na Muungano alafu hapo hapo kuna upande wenye Rais na upande mwingine hauna Rais.Anataka Muungano wa usawa kati ya watu milioni 50 dhidi ya watu milioni 1!! Si wajitenge tu. Maana hata faida yao kwa Tanganyika siioni.
Soma historia hawakuungana Watu bali ziliungana Serikali katika sekta kadhaa tuAnataka Muungano wa usawa kati ya watu milioni 50 dhidi ya watu milioni 1!! Si wajitenge tu. Maana hata faida yao kwa Tanganyika siioni.
Kwa tunaomjua Hamza tokea Bunge la Katiba hatumshangaiHamza kweli katumwa, sbb mambo ya Muungano tokea lini tena Waziri anabwatuka bwatuka, sijawahi ona hii tabia, isije kuwa Hamza ndio kama alivyokuwaga Musiba enzi ya JPM..!!
Baba mtumishi hivi kweli asilimia kubwa ya maisha ya watanzania wakiwemo wa visiwani hayazunguki katika yale mambo 22 ya Muungano?!!!Soma historia hawakuungana Watu bali ziliungana Serikali katika sekta kadhaa tu
Hamza yuko sahihi Watanganyika wengi hawajui historia!
Achana kaz ya wakandarasi... Wapo kazini...Zanzibar Kuna Waziri anaitwa Hamza, hakuna anayemjua hasa bara, ametumwa ajenda ya kutikisa Muungano. Anatoa maneno ya chokochoko ili kutibua maji ya kisima.
Namshauri aliyemtuma ajitokeze, kwa kuwa anafahamika vizuri. Waziri Hamza ni kifaranga tu, na mama yake (mama kuku) ndiye aliyempa hadhi ya kuongea kwa cheo hicho. Bila cheo hicho asingeongea.
---
Pia soma
- Waziri Hamza: Mapato ya Muungano ukitoa matumizi kinachobaki ndio Tugawane Zanzibar na Bara na siyo hii 4.5% tunayopata sasa!
Sasa unataka nisome historia ya kitu gani, na wakati hata huo muungano wenyewe nauona ni wa kidwanzi tu!Soma historia hawakuungana Watu bali ziliungana Serikali katika sekta kadhaa tu
Hamza yuko sahihi Watanganyika wengi hawajui historia!
Wewe unayajua matumizi ya Muungano?Baba mtumishi hivi kweli asilimia kubwa ya maisha ya watanzania wakiwemo wa visiwani hayazunguki katika yale mambo 22 ya Muungano?!!!
Mh.Hamza anataka nini la ajabu?!!!
Hivi kweli mgawo wa 4.5 ni mdogo sana kwa "udogo wa Zanzibar?!!!
Anatakaje 50% baada ya matumizi ya Muungano?!![emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hajaanza leo....Safi sana Hamza shikilia hapohapo hadi tuone nyeti za kuku!
Basi tulia Waziri Hamza hana namna ya kukusaidia!Sasa unataka nisome historia ya kitu gani, na wakati hata huo muungano wenyewe nauona ni wa kidwanzi tu!