Waziri Hussein Bashe futa kauli yako kuhusu Roho Mtakatifu

Ameongea kwa lugha ya picha. Anamaanisha laxima kuwe na resource za kutengeneza ajira. Tusiishie tu kwenye maombi. Lazima sasa tukishapiga maombi tuingie kwenye utekelezaji.
 
neno "Roho mtakatifu" siyo hatimiliki wa wakristo, kila mmoja anao uhuru wa kutumia neno hilo kwa mujibu wa imani yake na matashi yake
 
Kifupi unaumizwa na dini ya Muheshimiwa Hussein Bashe inakuuma kuona waziri huyu mchapa kazi ni muislamu swala tano! Pole
 
Labda kwenye Koran kuna 'Roho Mtakatifu'!
Sisi huwa hatusemi 'kwa jina la Roho Mtakatifu', tunasema 'kwa msaada wa Roho Mtakatifu.' Endapo tunasema 'kwa jina la Roho Mtakatifu' ni pale tunapofanya ishara ya msalaba. Hivyo hilo litakuwa la dini yao!
 
Roho mtakatifu ina maanisha nini mkuu?
 
Mbona roho mtakatifu yupo.kwenye uislamu pia,Na ametajwa ndani ya Qur'an,ambaye ni malaika Jibril.
Qur'an 2:87
Qur'an 5:110
..Qur'an 16:102
Hakutaja Roho mtakatifu wa dini gani.
 
Nani anamiliki na kusimamia matumizi ya hayo maneno?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kauli hiyo kakosea sana. Yeye ni muislam, haujui ukristo wala hamjui Roho Mtakatifu. Hapo aliropoka.

Viongpzi wanatakiwa kufikiri kabla ya kunena kuliko kuongea kwanza kufikiri baadaye.

Kwa imani ya Kikristo, mtu akitenda dhambi, akiomba toba, anaweza kusamehewa dhambi zake zote isipokuwa dhambi ya KUMKURU ROHO MTAKATIFU.
 
Statement hiyohiyo angeisema Slaa isingezua huu uzi
Dr Slaa hawezi kutoa tamko kama hilo kwa sababu anaujua Ukristo na nafasi ya Roho Mtakatifu katika wokovu. Kiimani Roho Mtakatifu ni nafsi ya Mungu. Huwezi kumlinganisha Roho Mtakatifu hata na Mtume Mohamad ambaye, kwa imani ya waislam, alikuwa mwanadamu.

Wanasiasa waache kabisa kugusa masuala ya imani, na kisha kuyafanyia kejeli.
 
Roho mtakatifu yupo kwenye uislamu.
Qur'an 2:87
Qur'an 16:110
Qur'an 16:102
Ni kama kusema Neno Rais,yupo Rais wa Uganda,Kenya,Somalia nk.Yeye hajataja Roho mtakatifu wa dini gani.
 
Roho mtakatifu yupo kwenye uislamu
Qur'an 2:87
.Qur'an 5:110
Qur'an 16:102
Hakusema Roho mtakatifu wa dini gani.Ni kama kusema Rais,bila kutaja Rais wa nchi gani.
 
Siwezi Tetea mtu kakosea aombe msamaha huwezi sema roho mtakatifu ukamtolea sentensi .

Kivingine ni maisha tu tunayopitia ila kwanini hajatolea mfano kwenye dini yake Kwa sababu anajua atakufuru
Roho mtakatifu yupo kwenye uislamu,awe ni tofauti na wa dini nyingine.Ni kama kusema Rais,Meneja,Mwalimu bila kutaja ni wa wapi.
Qur'an 2:87
Qur'an 5:110
Qur'an 16:102
 
Labda kwenye Koran kuna 'Roho Mtakatifu'!
Sisi huwa hatusemi 'kwa jina la Roho Mtakatifu', tunasema 'kwa msaada wa Roho Mtakatifu.' Endapo tunasema 'kwa jina la Roho Mtakatifu' ni pale tunapofanya ishara ya msalaba. Hivyo hilo litakuwa la dini yao!
Roho mtakatifu yupo kwenye Qur'an,
Qur'an 2:87
Qur'an 5:110
..Qur'an 16:102
Hakutaja Roho mtakatifu wa dini gani.
 
Bashe ana akili ipi unayoweza kumsifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…