FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Wasalaam wanabodi..
Nchi hii tangia tumepata Uhuru kumekuwa na karama ya kupata viongozi mbalimbali wenye upeo, weledi na uwezo tofauti tofauti. Pia wapo viongozi ambao walijifunza aina ya uongozi na siasa kupitia role models wao. Kwa sasa tunae Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye aina ya siasa na uongozi wake amemuiga role model wake Hayati Magufuli. Wapo wengi ambao wanaiga role models wao mfano siasa za January Makamba, Nape zinafanana sana na siasa za Jakaya Kikwete na kadhalika na kadhalika..
Mheshimiwa Waziri wetu wa Kilimo Hussein Bashe aina na uongozi na siasa zake zinafanana sana na siasa za role model wake na Baba yake wa siasa Hayati Edward Lowassa. Waliopata kumjua na kumfahamu Lowassa ni mashahidi ya kwamba mtu yule alikuwa Mfisadi, mfunyajimali, mbinafsi asiye na kifani. Na roho na tabia hiyo imerithiwa na huyu Waziri wa Kilimo ndugu Bashe.
Kwasasa kwenye kilimo kuna monopoly ya kutisha, karibia kila kitu kwenye kilimo wameki centralize na cartels zao pekee ndio zinafaidi jasho la Mkulima ambaye kimsingi ndio wananchi wengi wa nchi hii. Kuanzia kwenye ruzuku za mbolea, viwatilifu kwenye Korosho na kila kitu kinachohusisha Kilimo basi ni yeye na Watu wake wa karibu pekee ndio watafaidi hizo tunu. Mradi wa BBT ni ufisadi mwingine ambao unafungiwa macho Ingawa serikali iliweka fedha nyingi pale. Mfano mdogo, kwenye BBT hakuna asiyejua kwamba ule ni mradi wa Kilimo, lakini yeye alimchukua kijana anaitwa Hemed ambaye hana uzoefu wa kilimo uwe wa kusomea wala wa kulima akamweka kama coordinator wa mradi. Huyo Hemed nae ni wale watoto watiifu wa Lowassa na Bashe alimjulia kwenye ile cartel ya Mzee ya kuusaka Urais 2015.
Kama hayo hayatoshi, Bashe ameamua kuuingilia Ushirika ambao alikuwa ukijiendesha vizuri lakini kupitia ufisadi na ulafi wake akaamua kutaka kujimilikisha Ushirika ili kila kitu kiwe kinahusisha kampuni zake iwe kuanzia kwenye Tender za vyama vikuu mpaka kwenye kununua mazao kwa bei ya kutupa kwenye vyama hivyo vya ushirika kupitia kitu alichokianzisha yeye na rafiki zake walewale (cartels) akiwa Naibu Waziri wa Kilimo kiitwacho TMX. Hii TMX imeanzishwa na yeye ili kucentralize soko na mazao ya wakulima wote nchi hii yauzwe kupitia soko hilo pekee. TMX walijinasibu kwamba kupitia wao mazao ya wakulima yatauzwa direct kwenye soko la dunia hivyo wakulima watapata wanunuzi kutoka Duniani kote na bei zitaimarika. Cha kushangaza, kwa mwaka huu ambapo TMX imeanza rasmi kumilikishwa wao pekee kuuza mazao ya wakulima, kampuni zinazonunua mazao yao ni hazizidi tatu (za hao hao cartels) na pia hata bei zao ni ndogo ukilinganisha na bei zilizoko sokoni.
Bashe amekuwa muongo muongo na tapeli maana wiki ya kupitisha budget ya Wizara yake, kulifanyika vikao mbali mbali vya yeye na wenzake wa TMX kuwashawishi wabunge kuikubali TMX kama mbadala pekee wa minada ya wazi ya mazao na pia kuyashambulia baadhi ya makampuni na watu binafsi kwamba wanaibia wakulima huku akiahidi TMX kutoa bei bora. Utapeli wake mwingine ni wiki hiyohiyo ulifanyika mnada wa Ufuta wilayani Songwe na Kilo ya Ufuta iliuzwa kwa bei ya 4500 ili tu budget ya wizara yake na mipango yake ipite ili sasa utapeli wake uanze rasmi. Ni wiki mbili tu sasa Ufuta huo huo uliuozwa 4500 sasa unauzwa 3600 kitu ambacho haiwezekani bei ya zao hilo muhimu kushuka kwa kasi hivyo ndani ya wiki mbili tu.
Maswali yetu kwa Bashe, yeye alishutumu viongozi wa Ushirika kupanga bei na wanunuzi wa mazao na kwa kufanya hivyo walijivunia Billioni zaidi ya 20. Je, na yeye na wenzake wa TMX wameingia kwenye ufisadi huo? Kwanini bei ya Ufuta ishuke kwa zaidi ya Shillingi 900 ndani ya wiki mbili tu? Yeye aliahidi TMX italeta bei nzuri, mbona hiyo 3600 inayouzwa leo ndiyo alikuwa bei ya mwisho kwenye minada ya mwaka jana? Kwanini TMX wanunuzi ni watatu tu wakati minada kawaida ilikuwa ikileta wanunuzi zaidi ya 30? Kwanini mnawaumiza wakulima? Mwaka 2021, minada iliruhusiwa miwili ule wa Box na huo wa TMX, kwanini sasa mnalazimisha TMX pekee?? Na Pia huko TMX wakija wanunuzi wengine kwanini mnawapa usumbufu na utaratibu mgumu kwa makusudi ili tu wakate tamaa ili tu zibaki kampuni zenu.
Bashe ni simba aliyejivika ngozi ya kondoo, mtu mbaya sana kwa mkulima na wafanyabiashara wa nchi hii isipokuwa tu wale ambao ni cartels wenzake. Sasahivi malori yaliyobeba mazao kwenda kuuzwa Nairobi yamekwama pale Namanga mpaka yalipe corporate tax ya 30%, hii nayo tunajua unajiandaa kuhodhi biashara hii. Unataka wewe na wenzako pekee ndio mkauze mazao Kenya?? Nihangaike mimi kulima kitunguu shambani, nikipata bei nzuri kwingine mnanizuia kupeleka, ili iweje? Unataka tukuuzie wewe ili wewe ndiye upeleke kwa Wasomali wenzako Kenya?