waziri huyu vipi

waziri huyu vipi

mutua12

Member
Joined
Aug 20, 2008
Posts
39
Reaction score
2
wakati wa mapokezi ya taifa stars waziri mmoja kwa furaha alisema kuwa atahakikisha anapata upenyo wowote mpaka aende ivory coast kuona mashindano ya kutafuta mabingwa nyumbani.hii haijakaa sawa ni kwa gharama za nani. kazi kweli kweli
 
Kwani hujui?
Vingapi wanakula vya walalahoi.
 
Huyu waziri ni kilaza lakini eti nae anataka kuwa RAIS wa wadanganyika!!Qualification kubwa ;degree ya kuchonga a l`a ya Nchimbi na uongozi wa umoja vijana ccm walikoiba fedha za mradi wa mabasi ya vijana na Lukuvi{Rc Dodoma] Kwiiiiiiiiiiii Kwiiiiiiiii.
 
kama wananchi hawatabadilika eti wakichukua kadi za chama kingine wanaka matwa. tutaendelea kutawaliwa na vilaza hao kwa kurishishana. wawaachie wadau wa soka .
 
wakati wa mapokezi ya taifa stars waziri mmoja kwa furaha alisema kuwa atahakikisha anapata upenyo wowote mpaka aende ivory coast kuona mashindano ya kutafuta mabingwa nyumbani.hii haijakaa sawa ni kwa gharama za nani. kazi kweli kweli
Labda upenyo aliongelea ni kwamba atajibana sana matumizi ya nyumbani kwako ambayo anatumia kwa kipato chake halali.
 
Back
Top Bottom